Picha za wanaosinzia Bungeni

:faint:Jamii forums kuna mbambo, maana hii taswira inaeleza mengi zaidi kuliko za waandamizi wake wasinziaji. :faint:

Wema ana nguvu zake na uzoefu si mchezo bana.

Wee mtu hana msuli hauna unaenda kununua Kifaru cha Mrusi, T44?

Mwisho wake ni huu sasa:
Khaaa, hili DOMO la Upawa 🙂

naunga mkono hoja, kama ccm walivyo kimbelembele kuunga mkono hoja nyepesi.

:faint:Jamii forums kuna mbambo, maana hii taswira inaeleza mengi zaidi kuliko za waandamizi wake wasinziaji. :faint:
lAKINI HUYU SI ALIKUWA NA KALE KAUGONJWA NASIKIA TANGU APATE KIKOMBE SIKUHIZI HAANGUKI HOVYO....AU KAZI YA ULINZI WA MAREHEMU...

Hapa kiboko,iwe kila siku inawekwa then iwe na maelezi ni tarehe gani na wakati gani kwa maana ya asubuhi,mchana au jioni ili watu wasiseme tuna copy na kupaste picha zile zile.

wema ana nguvu zake na uzoefu si mchezo bana.

Wee mtu hana msuli hauna unaenda kununua kifaru cha mrusi, t44?

Mwisho wake ni huu sasa:
khaaa, hili domo la upawa 🙂

nafikiri tatizo ni kuvimbiwa na kula bila kazi.

Itakuwa pouwa hiyo!

Ninaomba Watanzania wawawajibishe Wabunge ambao wamekuwa wanalala bungeni kwenye hili Bunge la 10.Siyo haki ya sisi kuwatuma wakatuwakilishe lakini wao wanakwenda Kulala.

huyu nae mbunge?
hii lini tena.?duh

Mkuu hao wanatafakari kwa makini mjadala.

tuanze na huyu jamaa

Kazi ipo ,kwa hali zaidi,kasi zaidi na nguvu zaidi tutafika tu

tuanze na huyu jamaa

Anatafakari kwa makini saaana huyu. Ingekuwa kweli kalala ningeshauri apelekwe Loliondo kupata kikombe kwa 'bhabhu'.

Wema ana nguvu zake na uzoefu si mchezo bana.

Wee mtu hana msuli hauna unaenda kununua Kifaru cha Mrusi, T44?

Mwisho wake ni huu sasa:
Khaaa, hili DOMO la Upawa 🙂
Mkuu huyu dogo hana hadhi ya ku upload picha yake hapa labda kule jukwaa la celebrety.

Kuna maradhi flani huitwa sleeping sickness au trypanosomiasis yanayoweza kumlaza mtu akiwa anaogelea au anakimbia !

Yan kama mheshmiwa mmoja ndo na mate kabsa,mdomo mwaaa. Kha,posho hzi..

Sasa wanachangiaje hoja ? Au wanachangia kwa ndoto nini ? Ukitaka kuwatoa usingizi wabunge, tamka kitu kuhusu kufuta posho, wee! watakulilia machozi !

Halafu wanaweza kuchafua hewa hawa,unajua ukilala air hole inakuwa open muda wote..

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…