Ndondo Cup haina vurugu mkuu. Usalama ni wa kutosha kwa maana uratibu wake unafanywa na wanaolijua soka. Nasikitika kuwa Dr. JJ Mwaka amefanyiwa figisu lakini alitukosha sana kwa ufadhili wake.hizo ligi huwa nazipenda sana, tatizo mara nyingi huwa zinaishia vurugu...
Kwamba 'nanii' atuwakilishe?yakitokea mashindano ya kumtafuta mjinga bora Tanzania itashinda.
Kwamba 'nanii' atuwakilishe?
Kiness hapa Legho/shekilango kama unatoka manzese shuka urafiki nyuma ya kituo cha police, then labamba then unafika kiness!Inachezwa wapi hii ligi wakuu nami nikajipatie uhondo
Simuoni akitangazwa kwenye mchango wake katika Ndondo Cup [emoji478]Ndondo Cup haina vurugu mkuu. Usalama ni wa kutosha kwa maana uratibu wake unafanywa na wanaolijua soka. Nasikitika kuwa Dr. JJ Mwaka amefanyiwa figisu lakini alitukosha sana kwa ufadhili wake.
Kuna mtu akisikia tu jina lake anakereka. Kamfanyia figisu hadi kamtoa kwenye reliSimuoni akitangazwa kwenye mchango wake katika Ndondo Cup [emoji478]
Huyu si yule jamaa anayepiga kiingereza broken balaa?
huyo ndo mwenyewe chifu wa kauzu fc anaongea kiingereza afu anatafsir kiswahiliHuyu si yule jamaa anayepiga kiingereza broken balaa?
Dah! Huyu jamaa noma.huyo ndo mwenyewe chifu wa kauzu fc anaongea kiingereza afu anatafsir kiswahili