Picha za uongo zinazotumika za Amboni

Picha za uongo zinazotumika za Amboni

mwiguru mtemvu ndo director wa hizi muvi za kigaid ngoja tusubir nyingine soon
 
Hii kitu imebuma msijali tunakuja na another one.Get prepared.
 
Hahaha...masikini director chemba...movie lako limebuma hata kabla ya kuingia sokoni....
 
Cha kujiuliza hapa,je hizo picha nani kazileta mitandaoni?,maana naona watu wanalalamika tu mwanzo mwisho.

Halafu kuna raia wanakazana kumuunga mkono...

Huwa siamini hii nchi tuna vilaza kiasi hiki...
 
To a very high degree, this is likely to be the government conspiracy. Kulikuwa na ishu ya maandamano ya vyama mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu, matokeo ya kidato cha nne n.k. Hivyo serikali, ili kufanikisha kuwahamisha wananchi kutoka kwenye mambo ya msingi, wakaonelea wawaingize katika hili sakata.

Je, nikweli kuwa haya yangeweza kuwa yametukia Tanga na maisha yaendelee kama kawaida bila kuwa na tahadhari yoyote kwa wananchi waishion ndani ya jiji hili?

Je, ni kweli kuwa Mwl Christopher Mwakasege angeweza kuendelea na mkutano wake mkubwa wa maelfu ya watu ndani ya jiji (viwanja vya tangamano) bila tahadhari yoyote kwa wananchi???

HAPANA!!! Kwangu mimi naiona hii kama Mipango ya werikali na wanaojiita wanausalama!!
 
Ndo maana mnapewa mb8 saiv, watu hawanakaz za kufanya...ni kutengeneza story tu
 
si lazima aje mtu au taasisi unayoijua wanaweza kutumia agents wao ili endapo game itasanukiwa wawe kwenye position ya kukana ila ingefanikiwa ungeona wana confirm.

Mkuu pamoja na kuwa siamini sana haya mambo ya ugaidi yaliyozuka lakini mjenga nchi ndio huyo huyo hubomoa nchi...

Kwa kawaida Watanzania ni watu wanaopenda kuaminishwa hata kama taarifa itumikayo si ya kweli...

Habari zilipoanza kusikika za mapigano huko Amboni, hakuna mtu aliyejua nini kinaendelea...

Kwa kutumia mwanya huo wa uhaba wa habari ndipo watu wakaanza kutumiana picha hizo kwa nyenzo mbalimbali za mawasiliano...

Lakini hulka yetu sisi Watanzania wakati mwingine huwa twadanganyana sisi kwa sisi...

Mathalani muda si mrefu uliopita kuna yule bwana aliyedundwa huko Afrika Kusini kwa tuhuma za dhuluma za madawa ya kulevya...

Picha zikaanza kuenea kuwa kakatwa uume wake, watu wengine wakatuma hadi picha feki za uume wa mtu mwingine...
 
Hii kweli TANZANIA cfurahii kuwa mtanzania najutia kuwa mtanzania CCM majanga wanadanganya wananchi daaa!!
 
hivi wakazi karibu na Amboni Tanga- Hamna hata raia wa kupiga picha halisi au kusema waliona live magaidi-majambazi hawa? watalii wengi tu hupita karibu na stone- quarry- hata ushahidi hamna? tukio litokee masaa mengi hivi wakazi mnakaa kimya? kweli? haiji akilini...wananchi wa huko vipi? mbona kwengine watu wanaibua picha halisi? matokeo ya form 4 Tanga yanareflect uhalisia wa jamii ya huko?
 
muandaaji wa hii move alipotea angani masaa sita maeneo hayohayo
 
Sijawahi kuona VX za police zinakwenda kupambana na magaidi na sijawahi ona Gaidi wapo kwenye maandalizi ya kukusanya silaha na nguvu kazi watu eti wakiwa wanamtangazia adui ambae ni serikali tena kwenye media eti tupo tunakusanya nguvu tufanye ugaidi hii ni kali kweli,Osama hakutangaza maandalizi ya september 11 alipiga ndio akasema yeye kapiga.
Kwa kuongezea tu mkuu, hakuna kikundi chchote TZ kinaweza kujitangazia uasi sehemu kama Tanga maana hakiwezi kusurvive kabisa, walau kingeanzia mpanda na Tabora. Hebu fikiria hata Al shabab wameshindwa kujitangazia himaya Kenya kiasi kwamba wanaishia kuvizia na kurudi mafichoni Somalia, hivi inawezekanaje wahuni wawili watatu ambao hawajui hata logistics za vita tuambiwe wamepigana na JWTZ masaa 48?
Kabla ya Al shabab kuibuka kulikuwa na instability somalia kwa zaidi ya miaka 20, Boko haram imeibuka kutokana na factors ambazo zimekuwepo Nigeria kwa zaidi ya miaka 40, hayo matatizo ndio yaliyosababisha iibuke mwaka 2007 na bado wamekuja kupata nguvu zaidi baada ya Libya kusambaratika maana sasa waliweza kupata silaha kirahisi, na waliweza kuibuka kwasababu hata mazingira yanasupport kama DRC vile, mpaka wa Nigeria, chad, niger na Cameroon ni very isolated areas. Kwahiyo hakuna kikundi kilichodhamiria kufanya ugaidi kinaweza kikaenda kuweka base ya kudumu Tanga.
Sasa utashangaa kwanini polisi wanashindwa kuwashika wale vijana walioupload clip? maana hawa polisi waliweza kuchora picha ya mtu aliyetuhumiwa kushiriki mauaji ya padre zanzibar kwa kusikiliza maelezo ya shuhuda, iweje washindwe kujua identity ya mtu ambaye anaonekana na sauti inasikika? Na polisi wanawezaje kushindwa kutrack mahali hiyo clip ilikuwa uploaded wakati hata TCRA hicho kitu sio shida kwao?
Halafu wakati wote kwenye matukio huwa majeruhi wanatajwa na waandishi huwa wanaruhusiwa hata kuwapiga picha, kwenye hili tukio eti hawataki waandishi wawaone wala kuwapiga picha. Iweje wanajeshi huko DRC tujue kila kitu juu ya waliokufa halafu aliyekufa hapo Tanga anazikwa kimyakimya?
Hiyo ni movie tu kama movie zingine zinavyotolewa kila uchaguzi unapokaribia.
 
Bila shaka wanataka kufunga mjadala wa mahakama ya kadhi kiaina....amkeni....
 
Are you telling us the government would go to such an extent just to deter the 'qadhi-court'? makubwa.

Kwani picha zilizoletwa hapa zilikuwa official za jeshi la polisi, ama ushuhuda wa gazeti?

Na kwanini serikari ifanye mambo ya ajabu kama haya au wanasababu gani? it doesn't make sense

One side consist of pathological lies which one, I still side with government accounts of events far.

hii serikali ni comic club, subiri serikali november 2015
 
tatizo ni kwamba watanzania tunashabikia mambo bila kuangalia uhalisia wake. Hivyo kila mtu anatafuta kitakachovuta hisia za watu. Kama tungekuwa tunachambua wasingekuwa wanatudanganya. Tatizo jingine ni kwamba wenye dhamana ya kutoa habari hawazitoi.
 
Back
Top Bottom