Viongozi wenyewe wa chama ni type ya akina Nape unafikiri kuna progress yeyote ya kujenga.Nchi inaendeshwa kiuongo-uongo katika nyanja zote! Ni yaleyale ya "Pesa za Escrow siyo za umma"! Hapa kuna Chama choka mbaya! Namna hii, kweli tutafika!!????
LENGO LAO KUWASAHAURISHA WANANCHI NA SAKATA LA ESCROW, SUKARI, MAANDAMANO YA CUF, ISSUE YA KENYA NA TZ n.k. LAKINI WAMEANZA KUUMBUKA KWANI MKUU WA MKOA WA TANGA AMESEMA HAKUNA MTU ANAYESHIKILIWA NA POLISI HUKO TANGA . HIVYO ANAWATAKA WANANCHI WATOE USHIRIKIANO KWA POLISI. HII NI AJABU... KAMA POLISI WALIJERUHIWA NA MWANAJESHI KUUWAWA, INAKUAJE HAKUNA JAMBAZI ALIYEJERUHIWA?. NI KIINI MACHO TU
Hizi picha zimesambazwa na watu wenye akili za kipuuzi kwa kudhani kila kitu ni propaganda na siasa hata kwenye mambo ya maana hakuna hata picha moja iliyopatikana toka eneo la tukio.hii picha ya pili si walikuwa kwenye zoezi. itakuweje wajeda wengine wamesimama na kushika viuno, halafu useme wapo kwenye mapambano na gaidi.
Mimi hapa kuna video moja nimetumiwa whatsapp ni ya kichochezi kweli kweli na wahusika ndani ya hiyo video wanasema wako tanga na wanahamasisha vijana wote waje wajiunge nao tayari kuanza vita, pia wanajisifu kua wamevamia vituo vya polisi na kupola silaha, ni video mbaya sana