labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama e)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi??? kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao
Mkuu nimenote kitu, katika andiko lako.mkuu kwanza heshima kwako,naomba nikutoe tongotongo kwanza kwamba tupo kwenye karne nyingine kabisa.
enzi za propaganda uchwara ushapitwa na wakati kiongozi,tupo kwenye karne ya modern propaganda,propaganda za kidijitali sio kudanganya kadamnasi kwa ujanja wa kizamani kiasi hiki.
kwenye hayo mapango kuna underground turnel?Kama hakuna where are the so colled magaidi?
Ina maana jeshi na police walishindwa kuwa fish out hao magaidi pamoja na kutumia silaha nzitonzito,Kama waliweza kupata baiskeli na pikipiki mbovu hao majambazi walitorokea wapi,?
tumechoka na hizi sinema za kuingiza jeshi letu shupavu kwenye mambo ya kisiasa,this move was poorly planed,hamkujiopanga ipasavyo.
askaji wa jwz amejeruhiwa in battle field kwa nini hamkumsafirisha kwa helicopter hadi lugalo,kwa nini mmemzika huyu shujaa wetu kinyemela jamani.that guy was supposed to be accorded all sort of military burrial Kama tulivyozoea na pia ni tamaduni za majeshi yote duniani.
hata rambirambi hazijatumwa jamani au mmepeleka ubani kimya kimya.?
hapana you can't fool us on this ,mbinu zenubza propaganda mziadjust kidogo LA sivyo mnatuvunja moyo sisi RAIA wema.
Ujinga wa CCM wanajua watanzania fuata upepo, wanataka tusahau kujadili vitu muhimu kama katiba, tuanze kushabikia uongo wao... This is bull shitHii picha ya chini ambayo inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanajeshi aliyeuwawa
SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
2. hii picha inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa whatap na Instragram kuwa wanajeshi wapo kw enye mapambano SOURCE YAKE HII HAPA YA 2008
![]()
3. HII ya chini walikuwa kwenye maadalizi ya kukabili waandamanaji wa sheh Ponda Morogoro SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
Duh... kweli wewe ni Mwajuma Mchawi, hata maandishi yako hayasomeki kwa kuwa yamekaa kichawi chawi!Sisidirm wmchangnywekiws sana
Mkuu nimenote kitu, katika andiko lako.
Kwa jinsi tulivyomzoea mkuu wa nchi yetu, kama kweli tukio hilo lilikuwa 'genuine' na kuna shujaa mwanajeshi wetu amepoteza maisha kwenye battle field, ni lazima kwenye mazishi yake tungetegemea ujumbe mzito sana, including yeye mwenyewe kuhudhuria na mazishi hayo yafanyike kwa heshima zote za kijeshi na yafanyiwe coverage na vyombo vya habari mbalimbali.
Badala yake tumemuona mkulu akiruka na ndege kwenda Kalenga Iringa, kuhudhuria mazishi ya chifu wa kihehe, ambayo ni kama 'ceremonial post'
Hivi inawezekanaje kwa tukio kubwa kama la Amboni, ambalo limeattract attention kubwa ya National na International media, mazishi ya 'shujaa' wetu huyo mpambanaji,mkulu asiweze kuhudhuria wala kutuma mwakilishi, utadhani ni mazishi ya katoto kachanga,kalikoishi kwa siku moja tu hapa duniani?!
Hii picha ya chini ambayo inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanajeshi aliyeuwawa
SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
2. hii picha inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa whatap na Instragram kuwa wanajeshi wapo kw enye mapambano SOURCE YAKE HII HAPA YA 2008
![]()
3. HII ya chini walikuwa kwenye maadalizi ya kukabili waandamanaji wa sheh Ponda Morogoro SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
Mkuu hayo mapambano uliyaona wapi, wengine hata picha tu hatujaona.
Au wewe uko front Pamoja na Chagonja.?
Mimi hapa kuna video moja nimetumiwa whatsapp ni ya kichochezi kweli kweli na wahusika ndani ya hiyo video wanasema wako tanga na wanahamasisha vijana wote waje wajiunge nao tayari kuanza vita, pia wanajisifu kua wamevamia vituo vya polisi na kupola silaha, ni video mbaya sana
kuna wingu gani hapo zaidi ya usanii wa polisi-ccm. amka, erevuka.Yaani hili tukio limegubikwa na wingu kubwa ukweli bado haujulikani.
Utafiti niliofanya tangu juzi unaonyesha kwamba wananchi kila kona wamepuuza habari hiyo vibaya sana !