quraysh8137
Member
- Dec 9, 2014
- 54
- 13
daaah aibu gani hii.....kweli hakuna marefu yalokosa ncha... ccm kwishney
Hii picha ya chini ambayo inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanajeshi aliyeuwawa
SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
2. hii picha inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa whatap na Instragram kuwa wanajeshi wapo kw enye mapambano SOURCE YAKE HII HAPA YA 2008
![]()
3. HII ya chini walikuwa kwenye maadalizi ya kukabili waandamanaji wa sheh Ponda Morogoro SOURCE YAKE HII HAPA
![]()
Poor arguement....kama hamridhiki na jinsi Nchi inavyoendeshwa tafuteni pa kuishi....Dunia kubwa hii ya nini kuishi sehemu usiyoridhika nayo....mnakera sana na figisufigisu zenu bwana aaaaaah!
Yaani jamani kwakweli nimefurahi saàaaana we mtu una akili saaaaaana. Bora wangekupa Uwaziri kwenye serekali yao. Tena Uwaziri Mkuu. Maana ungewasaidia kiukweli. Umetulia na kufikiria na kuchambua mambo kwa akili. Barikiwa saaaaana mpaka ushangae
Wakuu;
KAwaida mtu unapopinga jambo fulani inabidi utoe ufafanuzi.
Sasa kama hizi picha siyo za tukio la Tanga, tunaomba utupatie za huko Tanga ili tuweze kuamini.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mkuu hayo mapambano uliyaona wapi, wengine hata picha tu hatujaona.labda nichukue muda wangu wa sekunde chache kujibu maswali yako ya kijinga(ingawa mimi sio mjinga kama wewe)
1.kuhusu ukweli ama uongo wa tukio inayegemea na pale uliposimama. kama ni gaidi ni lazima useme sio tukio la kweli na kama ni mzalendo basi una kila sababu ya kuamini kutokana na ushahidi toka kwa wananchi wanaoishi kuzunguka eneo la tukio.
2.kuhusu nani alisambaza picha... hili ni swali la kitoto sana. labda ungeuliza chanzo cha usambazaji wa picha. mtu yeyote(hata wewe) anaweza kuchukua picha kokote na kuamua kuisambaza nayo ikaendelea kusambazwa na wengine. hilo swali ungelielekeza mamlaka ya mawasiliano.
3.KWENYE ISSUE SENTIVE kama hii usidhani kazi ya jeshi la polisi ni kukanusha uvumi.. kazi yake ni kupambana na kutoa ripoti kwa umma. na kumbuka repoti inayotolewa sio detailed report bali inatolewa ripoti ya ujumla tuu ya kuelezea hali halisi ili kuwapa wananchi tahadhari kama situation is not yet under control ama kuwaambia wananchi wasiwe na wasiwasi kama hali imeshadhibitiwa. udaku na uvumi unaachwa kwa wadaku kama wewe.
4. hapo namba 4 sina la kukujibu zaidi ya kukuona mpumbavu. nenda amboni kaongee na wananchi halafu uje utapike kinyesi chako hapa. mapambano ya kiwango kile uwe ni upishi???kuna haja ya kuhoji uzalendo wenu.
5.sijui mambo unayoyazungumzia, na kama mapambano na magaidi umgetaka yafanywe kama public show offf... kuna haja ya nyie wapenda ugaidi kujifunza jinsi mapambano haya yanavyoendeshwa na nchi nyingine. kinacholetwa kwa umma ni taarifa zisizo na mashiko wala athari yoyote ki intelijensia. tatizo ninyi mnataka hata mambo yasiyostahili kuletwa adharani mnataka yaletwe ili mwishowe myatafsiri kisiasa na kujijenga kimitaji uchwara.
....... nyie watu bado sana. hivi mnafikiri nchi inaendeshwa kwa majungu na siasa za majukwaani??
....... mngejua jinsi mnavyovihuzunisha vyombo vya ulinzi na usalama, mngetakiwa kujirekebisha.
....... kazi ya MBWA ni kubweka na sisi tunawaacha mbwa wafanye kazi yao
Kwa hiyo mleta mada asipokupa picha za Tanga utaendelea kuamini hizo picha ni za Amboni pamoja na vielelezo alivyokupa.?
Ndivyo wanavyotaka kutuaminisha.Jamani tuache utani kweli hali ya usalama wa nchi ni tata.