Picha za tanzania/watanzania

Hizo za juu zimenichefua, but the rest are quite representative of what we see in certain regions.

Wamasai kwenye yale maboma yao wanafuga nzi wengi kuliko ng'ombe..ila usimwambie mtu.
 

Yap anajitahidi kuacha kichwa natural siyo wengine ambao kiumri wamesogea but wanapaka Pico ili mvi zisionekane, vp kwani Ngorongoro ipo jimboni kwake? notify me pliz
 
Back
Top Bottom