Picha za Studio Enzi Hizo

Picha za Studio Enzi Hizo

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Tumetoka mbali. Zamani ili uonekane mjanja na umeendelea ilikuwa lazima upige picha 'black and white' studio. Hebu cheki hizi pozi:
 

Attachments

  • image015.jpg
    image015.jpg
    65.7 KB · Views: 349
  • image008.jpg
    image008.jpg
    40.5 KB · Views: 380
  • image009.jpg
    image009.jpg
    58.8 KB · Views: 278
  • image014.jpg
    image014.jpg
    74.4 KB · Views: 269
http://sphotos-h.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash4/183991_474313889280316_753524788_n.jpg

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.
 
Ya pikipiki na redio Hahahaha. ..wanaonyesha mali zao
 
Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi

.https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=109734&stc=1&d=1377790923
 

Attachments

  • mizengo.jpg
    mizengo.jpg
    26.4 KB · Views: 265
Back
Top Bottom