Picha za Pharaoh (Ramesses II) Enzi Ya Musa

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
download

This is the closest picture taken of Pharaoh
Ramesses II

Here's the story of France with Pharaoh Ramesses

When Francisco Mitra became the president of France in 1981

France requested from the Egyptian government to host the mummy of Pharaoh

For the purpose of running laboratory and archeological examinations on the mummy of the most notorious dictator ever lived on earth

download

Upon arrival, a very royal attendants were there including the French president himself and all ministers who bowed in honor for the mummy

When the ceremony ended, the mummy was carried to a specially-designed section at the Archeology Centre of France

Were it started to be tested by the greatest French archeological and anatomical scientists in order to discover more about such a great mummy

download

The scientists were headed by Professor Maurice Bucaille

Scientists were trying to restore the mummy while Professor Maurice was mainly concerned with how did this mummy die!

The final report of the scientists was released late at night which states that the remaining salt in the mummy is an overt evidence that it was drawn in the sea, and the body was rescued very shortly where it was immediately embalmed to be saved
ramzes2_1.jpg

An amazing thing was still confusing Professor Maurice is that how could this body possibly be safer than any other mummy despite being taken out of the sea up until this time

Professor Maurice was writing his final report on what he thought would be a new discovery about saving Pharaoh's body immediately after his death and embalming it...

Last edited:

What do want to say? Weka abstract, bana.
 
kuna pharaoh mwingine,the boy king Tutankhamun,waliogundua tomb yake mara ya kwanza wote walikutwa na 'curse of the pharaohs'na one after the other wakafa vifo vya ajabu
 
Waha Pharaoh, inawezekana kwenye masanduku yao, wakati wakiwafungia huweka kemikali au madawa fulani ambayo yanauwa pole pole. Na hiyo yote ni kulinda zile mali wanazozikwa nao, pia kuwafanya waonekane kama miungu fulani hivi.
 
Bwana we! hebu tafuta jina jingeni ujisajili,acha kulifanyia mzaha jina la mtume, sjui mods mpo wapi wakati nimeshalalamikia hii na hatua haijachukuliwa, inakera bana plz.
Muslims highly respect the prophet they do not tolerate his holy name being misused.
 
Habari mbalimbali za Ramses II katika post asilia si sahihi. Ni kweli ya kwamba maiti hii ilisafirishwa kwenda Ufaransa. Mwili ukapokelewa kama mfalme halisi lakini safari hii ilitokea mwaka 1976 si 1981.

Sababu yake ilikuwa hali mbaya ya mwili huu kutokana na utunzaji duni katika Kairo wakati ule. Serikali ya Ufaransa ilijitolea kutekeleza shughuli za kuhifadhi mwili.

Baadaye maiti ikarudishwa Misri ilipowekwa katika chumba kipya kwemye makumbusho ya Kairo inapohifadhiwa katika mazingira yenye teknolojia ya kisasa inayozuia kuuza kwa maiti hii.

Siamini ya kwamba ni kweli wataalamu waliamini maiti ilikuwa baharini. Chumvi mwilini ni matokeo ya kazi ya kutunza mwili wa mfalme wakati wa kifo chake. Hii ilikuwa teknolojia ya Misri ya Kale. Maana mwili wa mtu ni nyama tu na kama mtu anataka kutunza nyama isioze anatia chumvi nyingi. Chumvi inaingia katika seli za mwili na kuzuia kuoza kwa kawaida.

Miili ya wafalme wa Misri ilifunguliwa, matumbo na ubongo yaliondolewa na uwazi wa mwili kujazwa chumvi. Baada ya kukausha mwili kwa njia hii walijaza uwazi kwa majani mbalimbali na kuviringisha mwili katika vitambaa. Moyo (baada ya kuukausha pia) ulirudishwa mwilini. Utumbo, maini na mapafu zilikaushwa vilevile na kuwekwa katika vyungo maalumu vilivyokaa kaburini kando la jeneza..

Sina uhakika kama picha hizi ni kweli zile za "karibu zaidi" . Maana mwili wa Ramses II ulitolewa katika kaburi lake mwaka 1881 na tar. 1 Juni 1886 vitambaa vilivyofunika maiti yaliondolewa. Mwaka 1902 mwili ukapelekwa katika makumbusho ya Kairo. Tangu siku zile Ramses alipigwa picha mara nyingi na wapiga picha mbalimbali walikuwa na nafasi ya kupiga picha za karibu.

Soma mwenyewe [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ramesses_II"]makala ya wikipedia.[/ame] .
 
...Siamini ya kwamba ni kweli wataalamu waliamini maiti ilikuwa baharini. Chumvi mwilini ni matokeo ya kazi ya kutunza mwili wa mfalme wakati wa kifo chake. Hii ilikuwa teknolojia ya Misri ya Kale. Maana mwili wa mtu ni nyama tu na kama mtu anataka kutunza nyama isioze anatia chumvi nyingi. Chumvi inaingia katika seli za mwili na kuzuia kuoza kwa kawaida.

Miili ya wafalme wa Misri ilifunguliwa, matumbo na ubongo yaliondolewa na uwazi wa mwili kujazwa chumvi. Baada ya kukausha mwili kwa njia hii walijaza uwazi kwa majani mbalimbali na kuviringisha mwili katika vitambaa. Moyo (baada ya kuukausha pia) ulirudishwa mwilini. Utumbo, maini na mapafu zilikaushwa vilevile na kuwekwa katika vyungo maalumu vilivyokaa kaburini kando la jeneza..

Soma mwenyewe makala ya wikipedia. .

Mummification
The earliest ancient Egyptians buried their dead in small pits in the desert. The heat and dryness of the sand dehydrated the bodies quickly, creating lifelike and natural 'mummies'.

Later, the ancient Egyptians began burying their dead in coffins to protect them from wild animals in the desert. However, they realised that bodies placed in coffins decayed when they were not exposed to the hot, dry sand of the desert.

Over many centuries, the ancient Egyptians developed a method of preserving bodies so they would remain lifelike. The process included embalming ([FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]To treat a dead body with preservatives to keep it looking lifelike. Ancient Egyptian embalmers used natron and oils to preserve bodies.[/FONT])the bodies and wrapping them in strips of linen. Today we call this process mummification.

Click here: Mummification
 
Hii habari ya magadi (=natron NaHCO³) ni sawa ni aina ya chumvi ya [ame="http://sw.wikipedia.org/wiki/Natiri"]natiri[/ame] ilikuwa njia ya kawaida kukausha maiti huko Misri. Lakini pia chumvi ya kawaida (NaCl) inatekeleza kazi ya kukausha linganisha habari hizi za Uajemi.
Hata magadi iliyotumiwa na Wamisri hayakuwa magadi matupu bali magadi (natron) mchanganyiko na chumvi ya kawaida. Mbali na hii hakuna sababu ya kiteknolojia kwa wamisri wa kale kutotumia chumvi ya kawaida kama walikuwa na uhaba wa magadi kwa sababu fulani.

Hivyo chumvi peke yake ndani ya mwili huu si dokezo la hakika ya kwamba mwili ulikaa baharini.

Hakuna habari za undani zaidi?
 
Baadaye maiti ikarudishwa Misri ilipowekwa katika chumba kipya kwemye makumbusho ya Kairo inapohifadhiwa katika mazingira yenye teknolojia ya kisasa inayozuia kuuza kwa maiti hii.

Tangu siku zile Ramses alipigwa picha mara nyingi na wapiga picha mbalimbali walikuwa na nafasi ya kupiga picha za karibu.

.

Kuna kitu nimeona katika Museum ya Cairo kuhusu mwili wa Ramses - nywele zake kwa mfano zimewekwa henna nyekundu,Mikono yake imeviringishwa pamba, meno yake yalioza vibaya sana...amevalishwa dhahabu vidole vyote vya miguuni na mikononi( cast kama vile ana vidole vya dhahabu!)Pembeni mwake imewekwa miili ya wake zake na walinzi wake.
Eneo mwili ulipohifadhiwa limeimarishwa kwa ulinzi mkali na unatakiwa kulipia kiingilio cha ziada kuweza kuuona.Picha haziruhusiwi kupigwa..ila niliona watu wachache wakijiiba kupiga picha!
 
HILO NI ONYO KWA WALE WOTE WANAOJIPACHIKA AU KUPACHIKWA UUNGU NA INATAKIWA IWE NI MAZINGATIO KWA WATU WOTE.
QURAN
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

TORATI.
KUMBUKUMBU YA TORATI 6.
4Sikia, Ee Israeli: BWANA Mungu wako, ni BWANA mmoja.

5Mpende BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote.

6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.

7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.

8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, zifunge juu ya paji la uso wako.

9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.
 
Asante kwa kutukumbusha ndugu.
Lakini sioni kama ndiyo mahali pake.Hapa tunaelimishana kuhusu among others things Egyptology kama sikosei.
Tupe wazo au uzoefu wako katika mada hii.
 
HILO NI ONYO KWA WALE WOTE WANAOJIPACHIKA AU KUPACHIKWA UUNGU NA INATAKIWA IWE NI MAZINGATIO KWA WATU WOTE.
QURAN
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

TORATI.
KUMBUKUMBU YA TORATI 6.

4Sikia, Ee Israeli: BWANA Mungu wako, ni BWANA mmoja.

5Mpende BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote.

6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.

7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.

8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, zifunge juu ya paji la uso wako.

9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.

MODS naona mmelala..lol
 
asante kwa kutukumbusha ndugu.
Lakini sioni kama ndiyo mahali pake.hapa tunaelimishana kuhusu among others things egyptology kama sikosei.
Tupe wazo au uzoefu wako katika mada hii.

kwanza ningeomba urekebishe lugha yako kwani mfumo uliotumika kueleza si sahihi na hupotosha maana ya kiswahili ni vizuri kutumia kiswahili pekee au kama kiingereza pekee na sio kuchanganya.

Naomba maana ya maneno hayo niliowekea kivuli kabla ya kukujibu.
 
Mkuu, nimekusikia na kukuelewa.Kwa vile umeomba, basi kistaarabu nitajitahidi kusikiliza na kutimiza ombi lako.
1. Kusema ati siyo sahihi kuchanganya lugha nadhani JF hakuna lugha moja - naweza kutumia zote 3 zinazoeleweka yaani Kiswahili, Kiingereza na Kiswa-kinge - ni uhuru na uchaguzi wa mtu.
2. Hayo maneno uliyoyawekea wino uliokoza zaidi - nilimaanisha pamoja na mengine elimu kuhusu Misri!
 
HILO NI ONYO KWA WALE WOTE WANAOJIPACHIKA AU KUPACHIKWA UUNGU NA INATAKIWA IWE NI MAZINGATIO KWA WATU WOTE.
QURAN
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. ***

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. ***

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa. ***

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. ***

TORATI.
KUMBUKUMBU YA TORATI 6.
4Sikia, Ee Israeli: BWANA Mungu wako, ni BWANA mmoja.

5Mpende BWANA Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote.

6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.

7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.

8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, zifunge juu ya paji la uso wako.

9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.

Mkuu siyo kilakitu lazima uingize dini. Kwanza wakati yote hapo juu yana tokea Uislamu haukuwepo. Pili ni kwamba siyo wote humu waislamu sasa ukitumia uislamu kueleza kila jambo humu JF hauta eleweka. Kuna jukwaa la dini mkuu.
 
Back
Top Bottom