Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,744
Hapo ndio tujue kuwa wenzetu hawabahatishi na hawana siasa kwenye kazi zao proffessional....kazi kweli kweli!!wamehadithiwa tu wamemchora mtu yule yule!!
Mkuu jamaa hawa mahili sana, na hawabahitishi - lakini hapa utasikia oh mbona kuna watu wengi Zanzibar wanao fanana nae - lakini wako kimya kuhusu anacho zungumza wakati anashikilia maiki!! Sura na misimamo yake/itikadi na jinsi alivyo kuwa anaji-conduct kwenye community hutakuwa ni ushahidi tosha; hakuna cha kufurukuta PALE.