Picha za mpenzi (au wapenzi) wako wa zamani..

Tena umenikumbusha ngoja nikaicheki sasa hizi kabla wife hajarudi kutoka kwenye mizunguko yake

aah zipu kama kuzichoma moto bora ufanye hivyo na yeye akiwepo... La sivyo unanunua ugomvi...
 
We Amyner za mwenzi wako wa zamani bado unazo au nawe umezichoma?

ninayo.... Ipo store... Sijaiangalia muda mrefu sana nahisi imeliwa na panya...
Enhe na wewe mike? Jinsi ulivyokuwa unampenda yule dada umezichoma moto kweli??
 
ninayo.... Ipo store... Sijaiangalia muda mrefu sana nahisi imeliwa na panya...
Enhe na wewe mike? Jinsi ulivyokuwa unampenda yule dada umezichoma moto kweli??
Wifi yako ambaye nae nishamwaga, alizifuma akazichoma moto zote mpaka zake, zimebaki za kwenye facebook tu.

Wifi yako ambaye nae nishamwaga, alizifuma akazichoma moto zote mpaka zake, zimebaki za kwenye facebook tu.

dah au mlikuwa kwenye pozi la ajabu katika hizo picha mpaka wifi aka panic??
Halafu bana upunguze kuwamwaga mawifi zangu.. Muda wa kutafuta mke wa kuoa huu.. Au mpaka wazazi wakushtue!
 
mh! Aisee nikizifuma za wife patachimbika, ila mm ninazo cjui atamaindi akiziona? Maana za kwenye cm naona hamaindi!
 
Wakwanza yeye ndo alibeba pic yangu kimyakimya bt yake sikuwah kuwa nayo, ila kadi zake nilichoma moto, sijui kama aliichoma au kuitupa, wapili ninazo nyingi, nasio picha tu nina vitu karibia begi zima na sijui ikitokea tukaachana itakuwaje coz vingi vizuri...
 
dah au mlikuwa kwenye pozi la ajabu katika hizo picha mpaka wifi aka panic??
Halafu bana upunguze kuwamwaga mawifi zangu.. Muda wa kutafuta mke wa kuoa huu.. Au mpaka wazazi wakushtue!
Nakunyemelea lakini naogopa, ila nimepata ujasiri kwa nitonye ametangaza nia kwa sweetlady, naomba namimimimimim.......................... loading!

i still have them kwenye album na zingine mwenza wangu amesave kwenye laptop yake hataki kuzifuta ansema its my memory na hana wivu nae kwa vile anajua nothing is going on with me and her again.
hifadhini kumbukumbu kwani yaliyopita yamepita
 
Binafsi nilichoma kila kitu mpaka zawadi alizowahi kunipa na kufuta kumbukumbu zake zote,na ilinisaidia kumsahau na kumtoa mawazo haraka!
 
Binafsi nilichoma kila kitu mpaka zawadi alizowahi kunipa na kufuta kumbukumbu zake zote,na ilinisaidia kumsahau na kumtoa mawazo haraka!

jamani canta kweli ulikuwa na dhumuni la kumsahau totaly! Mpaka zawadi....!!?
Ila kuna wanaume hawapo worth kuwakumbuka even for a second.. Memories huleta pain and heart aches! Picha unaziyeyusha na acid kabisa hata majivu yasibaki...
 
i still have them kwenye album na zingine mwenza wangu amesave kwenye laptop yake hataki kuzifuta ansema its my memory na hana wivu nae kwa vile anajua nothing is going on with me and her again.
hifadhini kumbukumbu kwani yaliyopita yamepita

lokissa wengine akithubutu kuona picha tu anaanza flashbacks...
 
Back
Top Bottom