Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 733
Pateni picha za mlima wetu kama nilivyofanikiwa kupiga toka angani! Cha kusikitisha barafu ndio inayeyuka hivyo...
Barafu imegeuka kuwa mawingu.
Global warming inanikera.....
Hii picha itakuwa ya zamani kidogo,mimi nimetoka Kilimanjaro siku ya Ijumaa,barafu ya mlima hasa kilele cha Kibo imeongezeka sana.
zinavutia sana lakini naona saruji inakwisha kwa kasi sana.
Why?
Hii picha itakuwa ya zamani kidogo,mimi nimetoka Kilimanjaro siku ya Ijumaa,barafu ya mlima hasa kilele cha Kibo imeongezeka sana.