Picha za mauaji ya wanajeshi wa Marekani zimevuja

Picha za mauaji ya wanajeshi wa Marekani zimevuja

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,699
Reaction score
2,610
Kundi la wanajeshi wa Marekani lililojulikana kama "kill team" lilikuwa linaua raia Afghanistan "for fun". Wanajeshi hao wameshitakiwa kwa ajili ya mauaji hayo na mmoja amekubali shitaka la mauaji. Gazeti la Ujerumani limechapisha picha zilizopigwa na wanajeshi hao wakipiga pozi na raia waliowaua.

ONYO!!! PICHA ZA MAUAJI!!!
The War-Crimes Photos the Army Apologized For
 
medium_afghan1.jpg






​
 
Hakuna mtu yeyote katika hizo picha aliye uliwa, mbona longa longa. Ni wapi hizo picha ulizo dai za mauwaji?

God bless AMERICA AND ISRAEL
 
Back
Top Bottom