Mmh?. Kweli alienda msibani na suit light blue namna hii?
Bora hata angevaa kanzu, at least haina color coding...
Hivi hakuna mtu wa PR angemnongoneza avae dark suit?
Wanaigiza? mwenzio yuko campaign we unasema anaigiza?Hapa walikua wanaigiza????
Wanaigiza? mwenzio yuko campaign we unasema anaigiza?
Campaign za Tanzania ni kuuza individuals, na sura zao
hamna cha program wala nini. Just look good, smell nice!
Uhasidi tu umewajaa.
Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.
Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?
yapi kayafanya ya maana zaidi anayoweza kujivunia au kutugawa kidini watanzania, kwanza mwambie asiche na pensheni zetu...!Uhasidi tu umewajaa.
Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.
Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?
Uhasidi tu umewajaa.
Aliyofanya Kikwete kwa Tanzania kuanzia mashule, barabara, vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, afya utalii (tena wa wenye fedha sio wa backpackers) hakuna Rais yeyote wa kabla anaempata hata nusu kwa mafanikio yake.
Life expectancy ya Mtanzania imepanda kutoka miaka 48 wakati anamaliza Nkapa mpaka sasa ni zaidi ya miaka 58, kama si maisha bora kwa Mtanzania nini hicho?
Hapo aliambiwa achague kati ya "USD. Two hundred thousand" au "USD. 300,000" or 'both' !!Kuna mtu kagundua nilichokiona katika huu mfano wa cheki?
SON, YOU GAHT THE MOSQUITO NETS IN EXCHANGE WE GET YEARS TO MINE GOLD AnD SET OUR CAMPS IN YOUR COUNTRY, AND WE HAVE A DEAL yeah?! NDIO NDIO BUSHI...
JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.
Ila, mambo kama kumtajirisha Ridhiwani, kuendeleza rushwa, ufisadi, kuachilia mikataba mibovu iendelee, n.k. hivyo vyote amefanya wakati halipwi mshahara ili avifanye !!
Hapo vipi ??
Kuna kila ishara kuwa chenji za EPA kutoka kwa manji zinamnufaisha sana Riz1.JK analipwa mshahara kwa ajili ya kufanya mambo yote hayo, sasa wewe unaona kuwa amefanya cha ziada sana hapo ? au labda kama hapokei mshahara na stahili nyingine.