mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,615
Katika pita Leo .
Nimedandia msafara wa Kassim Majaliwa, tupo kwa Bibi.duuh... Upo nchi gani mkuu?
hebu dadavua tu...usiogopeNimedandia msafara wa Kassim Majaliwa, tupo kwa Bibi.
Nimekuja London kusuuza macho kidogo.hebu dadavua tu...usiogope
Nimekuja London kusuuza macho kidogo.
Vp huko hakuna uhaba wa sukari kama huku?Nimedandia msafara wa Kassim Majaliwa, tupo kwa Bibi.
Mshana nchi hizi za kibepari Sukari ni nyingi Na Rahisi sana utafikiri inalimwa hapa.Vp huko hakuna uhaba wa sukari kama huku?
Nimetumia Ile kanuni ya Newton "Every action has equal or opposite reaction".Anko Magu ana taarifa lakini?