Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza

Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla

Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!

BBQ part in northern Israel[emoji23]
View attachment 3017095View attachment 3017096
Hizi picha hatahazitishi bana mbona kawaida tu hapo counterattack
 
Hivi hawa hezbollah ni wanaungwa mkono na serikali ya lebanoni au
 
Pale Juresalam au tunavyo paita sisi Al Quds ndio ilikuwa Qibla ya waislam, yani Mitume wote walikuwa wakisali pale
Waarabu wa Muhamed walipavamia pale Jerusalaem ile ni sehemu takatifu ya Wayahudi.

Mtume Mwarabu ni fake na hakuna ushahidi kuwa aliwahi kufika pale Jerusalem zaidi ya kuwadanganya Wafuasi wake.
 
Wana wa Israel nawao kumbe makombora yanapenya IRON DOME haikua active?. Huu utakua uzushi wa wavaa kobazi.
Pongezi kwa Allah na mtu wake Muhammad kwa kufanikisha kupenyeza makombora Israel.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mmpe. Keep it up Allah and mudy never give up tunatambua jitihada zenu msikate tamaa.

Big up Allah and mudi watu wangu wa nguvu
 
Back
Top Bottom