Waarabu ni Wavamizi kutokea Hejazi katika Karne ya Saba walikuwa wakiabudu Masanamu ya Al Uza na Al Laat wakatengeneza Dini ya kukopi kutoka katika Wakristo na Wayahudi.
Masanamu ya Uza Laat na Manat👇
View attachment 3017585
Tatizo lako we ulisomea shule za mission afu kibahati bahati ukapata bahati ya kuchukuliwa na JWTZ wakati wa vita vya Uganda na Tanzania.
Yani akili zako kama vile ile kipande cha karanga, we unafahamu history ya pale bibilia haiwezi waeleza inawaficha ficha.
Pale Juresalam au tunavyo paita sisi Al Quds ndio ilikuwa Qibla ya waislam, yani Mitume wote walikuwa wakisali pale nyie mnaita eti Synagogue ukitazama hio hio bibilia yako nini mana ya Synagoguei itakuwambia Msikiti sa kuna myahudi au mkristo anasali. Msikitini?
Nyie hamtaki kufahamu nini Uislam na nini Uarabu, azima ufahamu si warabu wote ni Waislam na si Wayahudi wote ni Wayahudi au Wakristo, wako pia Waislam.
Mfano wewe si mama yako Mtanzania lakini baba yako ni shombe wa kiarabu, hata kama unificha mimi nimeisha kuelewa situlikuwa wote Mtukula.
Ulichukua Saa kwa yule askari wa Libya ukawa unajisifia kila sehemu mnaona hi saa nimeichukua kwa Mlibya na ukabeba tugwanda twake ukawa unatembea huko vijini umevaa magwanda ya jeshi wakusifia askari wa JWTZ.
We akili zako noma sana mpaa ujuwe uislam na Uarabu ni vitu mbali mbali kabisa vinakutana kwenye Qur'an tu kwa kutumia lugha ya kiarabu tu.
Tena kama vile Mitume wa zamani walio tumia lugha ya kiyahudi kwa kufundisha sio wote ni Wayahudi ni Waislam walitumia lugha ya kiyahudi tu.
Kwa hio huwezi kujua nini mana ya bani Israel au watoto wa Yakobo ukadhani wote wamebaki wanatumia lugha ya kiyahudi.
Mara nyingi sana watoto wanafata lugha za mama zao, unless baba akijitahidi sana na yeye kumsemesha mwanae lugha yake, chukua mfano Warabu/ Wahindi walio zaliwa Tanzania.
Hata kiarabu hawajui kwa sababu mama zao wa kutokea Zanzibar au Tanzania bara na wako Wafrica kiarabu Full sababu wamesoma Qur'an.
Warabu walio tokea Yemen hawa walijitahidi kuwasemesha sana watoto zao kiarabu, na walikuwa wanajio wenyewe kwa wenyewe kuliko walio tokea Oman hao walikuwa hawajali watoto zao waongee Kisukuma, Kinyamwezi. Kinyiramba. Kigon Kihaya n.k. wao walinogewa na viuno zaidi.
Wahindi walikuwa wanaona wenyewe kwa wenyewe na Wasomali wenyewe kwa wenyewe ndio walibaki watoto zao wanaongea lugha zao.