Kule amna blockage ..na food starvationAingie Lebanon kama alivyoingia Gaza
Kule amna blockage ..na food starvationAingie Lebanon kama alivyoingia Gaza
Tayari leo wameanza kusema yiyoyo yoyoyo afu watasema mmoja tu kawa slight injury 😄Duh aise inasikitisha sana Israel inachomwa moto vibaya...sema Hezibollah wangeongeza kidogo ili moto uunguze majengo na maficho ya wayahudi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Go Go HizbollahKaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza
Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla
Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!
BBQ part in northern Israel[emoji23]
View attachment 3017095View attachment 3017096
Iron dome siyo effective 100% na hezbollah waliijeruhi irone dome kama unakumbukaWana wa Israel nawao kumbe makombora yanapenya IRON DOME haikua active?. Huu utakua uzushi wa wavaa kobazi.
Ndio manake afu Biden anawambia Gaza na Ukraine Imetufilisi mpaa tunachukua pesa ya Mrusi kupeleka msada Ukraine, hajui kufanya vile warabu wata pull out pesa zao na china na nchi zingine, nani atakubali kuweka tena pesa zake America😄Kule amna blockage ..na food starvation
Tayari leo wameanza kusema yiyoyo yoyoyo afu watasema mmoja tu kawa slight injury 😄
View: https://youtu.be/DI_XXJpK6DE?si=Rtx0bf8OVyQHpbLT
Hrzbollah sio hamas mjomba zilishapigwa 2006 hadi marekani akaenda kuomba ceasefireMkianza kupigwa👇
View attachment 3017517
We kamanda mstafu nenda Israel ukasomee kilimo hapa utaishia kutetea Israel hulipwi 😄Mkianza kupigwa👇
View attachment 3017517
Hezbollah haifanyi huo ugaidi kuua raia wasio na hatia, gaidi Israel mwizi wa ardhi za watu ndiye muuaji hadi ICJ wanatoa warranty Netanyau akamatwe.Uchokozi "too much" wa kupiga misitu?! Wakati Israel akiwatandika anapiga mpaka wake zenu!.
Hiyo miti baada ya muda itastawi tena, vipi wake zenu baada ya muda nao watastawi tena?
Wanasaidiwa na Ayatolah lakini Netanyahu kaamua kwenda kutoa Dozi.Hrzbollah sio hamas mjomba zilishapigwa 2006 hadi marekani akaenda kuomba ceasefire
Acheni kuwazulumu Waisraeli Ardhi yao.We kamanda mstafu nenda Israel ukasomee kilimo hapa utaishia kutetea Israel hulipwi 😄
Israel kuokoa mateka wake kashindwa ni dhaifu sana, hao mateka wanne hadi wanajeshi wa marekani wamekuja kusaidia, hawana uwezo wa vita, ni maneno mengi tuWanasaidiwa na Ayatolah lakini Netanyahu kaamua kwenda kutoa Dozi.
Wasilamu acheni wivu dhidi ya Wasraeli Kuruani yenu yenyewe imesema watarudi kwao Jerusalem.Israel kuokoa mateka wake kashindwa ni dhaifu sana, hao mateka wanne hadi wanajeshi wa marekani wamekuja kusaidia, hawana uwezo wa vita, ni maneno mengi tu
Israel itaipiga Hezbollah na nitakuita. Kwa sasa andikia mate bado wino haujajaa kwenye kalamuIsrael haiwezi kubali ingia full scale war na Hezbllah, kuna wayahudi humu ukiwaambia wanajitia kichwa ngumu lakini huo ndio ukweli, uchokozi anaoufanya Hezbollah ni too much..
Hezbollah inafahamika kwa surprises hata US iliwaambia hivyo Israel, hayo makombora unakuta ni yale ya kawaida sana, mtanange ukianza ndipo utashangaa kuna missiles zinarushwa hadi Tel Aviv hakuna air defense hata moja inazuia.
Hakuna wivu usiweke hisia kwenye mambo haya hapo utakuwa unaidhalilisha elimu yako, wale wanafunzi wa havard na vyuo vingine sio wajinga hadi wanapingana na mazayuni, watu tunachokataa ni sera za uonevu na wizi kwa kutumia kitabu ambacho wao mwenyewe hawakiaminiWasilamu acheni wivu dhidi ya Wasraeli Kuruani yenu yenyewe imesema watarudi kwao Jerusalem.
HAwana uwezo wa kuipiga hezbollah ,walishabondwa na wakitia mguu watabondwa tena na wanalijua hilo ,ndio maana kila siku wanabweka bweka ila kwenda hawaendi kupigana na hezbollah , umeona wapi jeshi lililokamilika linahangaika kuokoa mateka kwenye kijiji kwa zaidi ya miezi tisa sasaIsrael itaipiga Hezbollah na nitakuita. Kwa sasa andikia mate bado wino haujajaa kwenye kalamu
Uzuri nuclear hana peke yake. Iran anarutubisha nuclear kupita kiasi hadi mashoga ya magharibi yanakaa na Iran kwa mazungumzo apunguze urutubishaji wa nuclear.Wanacheza na Nuclear Power Vilemba vitababuka.
Lebanon inachekea chooni ikiona Hezbollah anapigwa na Israel, maana hawa ni waasi wa serikaliAingie Lebanon kama alivyoingia Gaza