Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza

Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla

Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!

BBQ part in northern Israel[emoji23]
View attachment 3017095View attachment 3017096
Israel anajua viongozi na wapiganaji wa Hezbollah, Hezbollah wana kazi moja ya kuchoma misitu.
 
Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza

Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla

Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!

BBQ part in northern Israel[emoji23]
View attachment 3017095View attachment 3017096
Wasubiri SAMSON OPTION!😭😭😭
Muda Utasema!; Itunze post yangu!
 
Israel haiwezi kubali ingia full scale war na Hezbllah, kuna wayahudi humu ukiwaambia wanajitia kichwa ngumu lakini huo ndio ukweli, uchokozi anaoufanya Hezbollah ni too much..

Hezbollah inafahamika kwa surprises hata US iliwaambia hivyo Israel, hayo makombora unakuta ni yale ya kawaida sana, mtanange ukianza ndipo utashangaa kuna missiles zinarushwa hadi Tel Aviv hakuna air defense hata moja inazuia.
Mwarabu wa mwembetogwa bwana
Yaani US amuogope Hezbullah?
 
Wamesha jibu sana tu.
Wakiuwa wanawake na watoto na wao wajiandae kuuliwa kwa watoto na wake zao au unadhani Hizbulah ni sawa na Hamas?
Wanapiga mabom off target. Wanaishia kuchoma moto mashamba na vichaka tu. Huku Idf inadonyoa makamanda wao mmoja mmoja pamoja na kuuwa zaidi ya magaidi 300
 
Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza

Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla

Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!

BBQ part in northern Israel[emoji23]
View attachment 3017095View attachment 3017096
Taifa teule kaanza kuchezea fimbo ya Mungu..
 
Israel haiwezi kubali ingia full scale war na Hezbllah, kuna wayahudi humu ukiwaambia wanajitia kichwa ngumu lakini huo ndio ukweli, uchokozi anaoufanya Hezbollah ni too much..

Hezbollah inafahamika kwa surprises hata US iliwaambia hivyo Israel, hayo makombora unakuta ni yale ya kawaida sana, mtanange ukianza ndipo utashangaa kuna missiles zinarushwa hadi Tel Aviv hakuna air defense hata moja inazuia.
Uchokozi "too much" wa kupiga misitu?! Wakati Israel akiwatandika anapiga mpaka wake zenu!.

Hiyo miti baada ya muda itastawi tena, vipi wake zenu baada ya muda nao watastawi tena?
 
Duh aise inasikitisha sana Israel inachomwa moto vibaya...sema Hezibollah wangeongeza kidogo ili moto uunguze majengo na maficho ya wayahudi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
So these people are killing each other. Wako vitamin, wanaua na kuuliwa pia.
 
Wamesha jibu sana tu.
Wakiuwa wanawake na watoto na wao wajiandae kuuliwa kwa watoto na wake zao au unadhani Hizbulah ni sawa na Hamas?
Then wanashtaki UN kuwa wamefanyiwa genocide.
 
Mkijibiwa msianze kulialia hovyo huku mkilalamika Israel anaua wanawake na watoto
Wakijibiwa👇
2164429.jpg
 
Back
Top Bottom