kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,187
- 24,579
Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza
Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla
Makombora ya Hezbollah yenye kasi yamesababisha uharibifu mkubwa sana hadi Iron dome na mifumo ya ulinzi wa Israel imefeli asilimia 90 ya makombora yamepenya!!
BBQ part in northern Israel[emoji23]