Kuna picha Mamndenyi aling'ang'aniza kupiga na Baba Riz , pamoja na kwamba fursa kiitifaki ilikua ngumu , lakini aling'ang'ana .
Na kuna nyingine kapiga kandoni mwa Mwenge wa uhuru .
Hizo picha tuziiteje ?
Pia ni ushamba kuandika sterling badala ya steering!Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
kupiga picha umeonesha dole gumba juu
Kuna picha Mamndenyi aling'ang'aniza kupiga na Baba Riz , pamoja na kwamba fursa kiitifaki ilikua ngumu , lakini aling'ang'ana .
Na kuna nyingine kapiga kandoni mwa Mwenge wa uhuru .
Hizo picha tuziiteje ?
Hakuna vikosa vidogo, ni kosa kubwa na ushamba kuandika 'sterling' badala ya 'steering wheel' ama 'usukani'. Ushamba hapa ni kwamba umetumia jina la kampuni maarufu ya ujenzi ya Italia, Sterling Astaldi kuzungumzia usukani wa gari.Hakuna kitu kiitwacho sterling kwenye gari ila kuna steering wheel. Washamba wa lugha walichanganywa na jina la ka,mpuni ya Italia na steering wheel, wakifikiri ni vitu vinavyohusiana. M.E.M.A, usiwe mmoja wa hawa washamba!Kukomalia vikosa vidogo vidogo ni ushamba..lol