M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
- Thread starter
- #21
Hakuna vikosa vidogo, ni kosa kubwa na ushamba kuandika 'sterling' badala ya 'steering wheel' ama 'usukani'. Ushamba hapa ni kwamba umetumia jina la kampuni maarufu ya ujenzi ya Italia, Sterling Astaldi kuzungumzia usukani wa gari.Hakuna kitu kiitwacho sterling kwenye gari ila kuna steering wheel. Washamba wa lugha walichanganywa na jina la ka,mpuni ya Italia na steering wheel, wakifikiri ni vitu vinavyohusiana. M.E.M.A, usiwe mmoja wa hawa washamba!
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
Kutokujifunza na kudhani mtu habadiliki ni ushamba. Wapi imeandikwa 'sterling'? Hebu kasome vizuri thread na uache ushamba.