Picha za JK, mama Salma na mjukuu wao shambani kwao msoga.

viatu vimembeba kweli na kishati kiduchuu..kama vile amedhoofika kiafya!!

Kilimo kwanza naona anatekeleza..
 
Inaniuma sana kwani mzee wangu amepata shida kwa kufuatilia Pembejeo halafu watu wanatuwekea picha za watu ambao wamefanyiwa kazi kwa kutumia nguvu zetu.... hii Nchi si muda mrefu kitaeleweka tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mkuu umesahau kuweka Jina lako kamili na anuani yako ili Mh JK akupe Ukuu wa Wilaya

mkuu habari! Cna shida kama unavyofikiri am a positive thinker coz viongozi wa siasa hawadetermine maisha yangu yataendaje bali ni mipango yangu na displine,sijisifu rafiki yangu bali nilipofikisha umri wa miaka 19 nilishiriki ktk kuanzisha kampuni na rafiki yangu,one year later at i registered my first company,cna njaa mkubwa
 
kwa kweli anatekeleza vema KILIMO KWANZA kwa vitendo maana viongozi wanatakiwa wawe mfano kwa kuwa na maeneo yanayoonyesha kilimo bora!BIG UP!mama salma safi sana,nneyo peyo!

Nigga! Do you know what u have said? Does Salma for the past 20 years know anything about jembe? Anyway I love the little kid! Beautiful.
 
Ridhwani sasa utulize huo mkia. Aziza bado ni mdogo angalia usije mbemenda!
 
mkuu habari! Cna shida kama unavyofikiri am a positive thinker coz viongozi wa siasa hawadetermine maisha yangu yataendaje bali ni mipango yangu na displine,sijisifu rafiki yangu bali nilipofikisha umri wa miaka 19 nilishiriki ktk kuanzisha kampuni na rafiki yangu,one year later at i registered my first company,cna njaa mkubwa
Mkuu hongera kwa mafanikio yako. Lakini wazo la Jina kamili na anuani bado lipo palepale labda biashara yako inweza kuwasaidia ccm
 
Jk akizeeka Dr Slaa atakuwa anatembelea mkongojo na Junior ndio anaaza chekechekea...lol..

Sidhani kama King'asti ni mwanachadema.Hivi kwanini uko very obssesed na huyu mtu?Kuna namna amekunyima raha na unabifu mbaya sana.Siyo kila mtu anayemkosoa baba yako ni mfuasi wa chadema ama Dr Slaa.Jamaa anakupelesheni mbayaa!
 
Last edited by a moderator:
Walitakiwa waonekane wako kazini wakimenya mahindi or something.Ukitaka ku appeal kwa wakulima una appeal kikweli kweli nasi huu usanii ama insultation ya intellingence za wakulima.Huyu hajui maisha ya wakulima,maisha yao hata kuyageza hawezi.
 
kweli ridhiwani na babake ni yanga damu , angalia mtoto alivyo pendeza na hizo rangi za kijani na nyeusi! wapi papaa adeni rage?
 
Kiatu sio kikubwa sema, kavaa suruali mdomo wa chupa, ndio maana kinaonekana kikubwa.
 
Africca usishangae waziri kaenda panda miti akiwa katika suti?Sometimes huwa wanajisahau na kudhani kuwa maisha ni ku act tuu.Rais kama analima ni vyema.Ila kama tungepata pict kama za mwalimu katika nguo za wakulima ingeleta sura nzuri.

Pia mahindi kwa jinsi yalivyo kidogo sidhani kam yaelimwa mahali panapozidi hekari 2,kitu ambacho kinaweza onekana kuwa aibu kwani mapori yaliyoko hapo chalinze palipaswa kuwa green.Presidaa amekuwa akiwaponda watu wake kuwa hawana mbinu nzuri za kulima ndio maana huwa ndizi zao huwa zinadumaa.

Naomba akawaangalie wenye ranchi ambazo huwa wanaenda wakiwa fulu kama wanaenda shamba kumbe shamba lina mifugo michche sana inayoangaliwa na watu wasio na pa kukaa na wapo katika ranchi kwa hifadhi huku wakifanyaishwa kazi.
 
Back
Top Bottom