Picha zipo nyingi tuu. Kila chama kina "guard" wake
Mkuu EMT, kwa picha hizi japo zipo kwa uchache...nina kila sababu ya kuamini Rais wetu na Mamlaka zake wamekurupuka kutoa hizo "Marufuku" walizozitoa.
Hivyo hilo linanifanya nitilie mashaka uwezo wa utendaji wa Rais wetu...
Marufu toka wapi kwenda wapi? Marufuku kotoka kwa nani kwenda kwa nani ili kushinda nini? Ndio maana nahitimisha kuwa mbona inaonekana kuwa SIASA inayojikita kwenye Kumboa MWANANCHI mboana kama iko vitani tayari kumuangamiza mwananchi?
Nakumbuka nikiwa mtoto mdogo, nilishawahi kuwa mfuasi wa CCM chini ya Jeshi la watoto wadogo enzi hizo tukiitwa CHIPUKIZI...na aina ya mavazi tuliyokuwa tukivaa ni sawa kabisa na hayo ya Green Guards.
Sina uhakika kama hao watoto ninaowaona katika taswira hizo ni wale CHIPUKIZI kama tulivyokuwa au ndio hawa Green Guards!!
Picha zipo nyingi tuu. Kila chama kina "guard" wake
Unamaanisha chipukizi kama hawa?
![]()
Kila chama!!! That Means kila chama kina GUARD wake!! Kila chama kina M GUARD!! Nani against nani? Inaonekana kama ugonjwa wa kansa umetafuna mwili mzima eh?!!! Dawa yake ... aje mkoloni Achukue nchi nini???!!
Tumejishindwa, Hatujiwezi, tunaji guard wenywe against what?