Picha za Dada Huyu Mwandishi Zinakuambia Nini?

Mimi naona amejiweka mbali ili wapiga picha wa camera/video waweze kuchukua picha za anayeongea badala ya yeye kuwaziba. sioni tatizo, pengine she is doing professionally
 
Huyu mwandishi ni kama vile anajisemea moyoni "HAPA TUNADANGANYWA LIVE"
 
Ushamba wa kumulikwa na camera. Sio mzoefu wa kupigwa picha na anaonekana kujiandaa sana na mara nyingine kumkodolea macho mpiga picha.Ijapokuwa kwa tafsiri ya kijuu juu kwenye picha ya awali mtu anaweza kusema haridhiki na yanayozungumzwa au anayadharau lakini tafakari ya kiundani inaojesha kuwa ana asili ya uoga ama ushamba fulani na hivyo ana faa kuwa mke bora
 
Back
Top Bottom