Picha za baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya

Huyu demu alikua na kazi gani kabla?
attachment.php

'
Anaitwa Mboni Mhita, alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
 

Attachments

  • Mboni.PNG
    Mboni.PNG
    114.6 KB · Views: 4,679
Bado diamond kuwa waziri mkuu na wema kuwa waziri wa mambo ya nje aunt ezekiah waziri maliasili na yule lulu Malay kuwa waziri wa katiba na sheria
 
Huyo ni Mboni Mhita, na ni kweli ameteuliwa kuwa DC wa Mufindi. Alikuwa Makamu Mwenyekiti wa UVCCM. Alipochaguliwa nafasi ya UVCCM william Malecela alipost hii hapa
attachment.php

Kwenye mitandao na social media kuna picha zimeenea zinazomwonesha mwanamke huyu kuwa nae kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya, kama picha hizi zina ukweli ebu anaemjua mtu huyu atuambie ni nani katika orodha mpya ya wakuu wa wilaya wateule.
View attachment 228558

View attachment 228559

View attachment 228560

View attachment 228561

View attachment 228562

View attachment 228563

View attachment 228564
 
Last edited by a moderator:
Mie nimechoka kusikia kwenye habari mkuu wa wilaya sijui kapteni fulani, meja fulani, sijui kanali fulani.

Inaboa huku wilayani kufanya vikao vya ulinzi na kuongozwa na wanajeshi wastaafu.

Sasa tutakuwa tunasikia kwenye habari mkuu wa wilaya ya Tandahimba Miss Heaven on Earth leo aliongoza kikao cha ulinzi na usalama kutokana na tafrani ya maandamano ya Ukawa wilayani hapo.

Acheni Miss independent watese hadi wilayani na siyo Dar tuu kwa waogopa panya road.

Ne-Yo - Miss Independent: http://youtu.be/k6M5C-oKw9k

Hahaaaa nimejikuta nacheka saana....... sipatii picha

nikiwa naongoza hiko kikao cha
 
attachment.php


Makubwa tunazidi kushuhudia huyu serikali ya Kikwete
Mboni Mhita ndiye DC wa Mufindimwenyekiti wa Kamati ya Usalama wilaya, badala ya masula muhimu atakuwa anauza mapaja yake kwa wanakamati wenzake. hivi hakuna vigezo vya kuangalia wasifu wa wanaoteuliwa?
DSC_2072.JPG

Paul Makonda akiongoza kundi la wahuni kumshambulia Warioba alipotoa mhadhara wa Katiba mpya, huyo sasa kazawadiwa kwa uhuni huo ukuu wa Wilaya.
 
Kuna moja niliiyona kavaa vikuku miguu yote miwili, na kawaida ya uvaaji huo wa vikuku inakua imetoka ruhusa ya "twanga kote kote", vipi hawa wakuu wa Wilaya wapya nao wanaruhusu kugongwa 'kaugonjwa pendwa?'

Haki ya faragha na usalama wa mtu inahusi hapa
 
Watu mnajua kuzushaaa...Huyu dada wa Pink mbona si Mkuu wa wilaya...Ndio kwanzaa anasoma CBE Dar....Namfahamu vizuri...JINALE KAPUNI...
Ila ni mzuri kajaaliwa....wanafunzi wanamkodoleaga mimacho...
Labda mnamuombea aje kuwa mkuu wa wilaya


attachment.php


attachment.php


attachment.php


Sina tatizo kabisa na madaraka yao waliyopewa lakini katika hili la mavazi ipo haja ya kukemea jambo Nadhani ipo haja ya kuangalia upya utaratibu wa uvaaji wa nguo kwa watumishi wa umma.

Na hapa lengo ni kuwafanya wajue kuwa licha ya utashi wao wa kupenda aina furani ya mavazi basi wajue kwamba wakishachaguliwa kuwatumikia wananchi basi kuna baadhi ya vitu lazima waviache.

Nadhani wakitambua hilo basi watakuwa wanavitendea vyema vyeo na dhamana waliyonayo kwa taifa hili
Hivi vikuku vya miguuni kwakweli sijavipenda.
 
Back
Top Bottom