Picha za baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
931
1,554
Hapa bado akina lulu,wema sepetu,aunt ezekiel na diamond kupewa mikoa
 

Attachments

  • 1424428596367.jpg
    1424428596367.jpg
    42.3 KB · Views: 14,307
  • 1424428864552.jpg
    1424428864552.jpg
    19.9 KB · Views: 8,368
  • 1424429098055.jpg
    1424429098055.jpg
    21.8 KB · Views: 7,484
  • 1424429144846.jpg
    1424429144846.jpg
    20.4 KB · Views: 13,071
  • 1424429189056.jpg
    1424429189056.jpg
    47.8 KB · Views: 6,052
  • 1424429232326.jpg
    1424429232326.jpg
    39.6 KB · Views: 12,670
  • 1424429309436.jpg
    1424429309436.jpg
    41.6 KB · Views: 5,553
Kuna moja niliiyona kavaa vikuku miguu yote miwili, na kawaida ya uvaaji huo wa vikuku inakua imetoka ruhusa ya "twanga kote kote", vipi hawa wakuu wa Wilaya wapya nao wanaruhusu kugongwa 'kaugonjwa pendwa?'
 
Hapa bado akina lulu,wema sepetu,aunt ezekiel na diamond kupewa mikoa

attachment.php


attachment.php


attachment.php


Sina tatizo kabisa na madaraka yao waliyopewa lakini katika hili la mavazi ipo haja ya kukemea jambo Nadhani ipo haja ya kuangalia upya utaratibu wa uvaaji wa nguo kwa watumishi wa umma.

Na hapa lengo ni kuwafanya wajue kuwa licha ya utashi wao wa kupenda aina furani ya mavazi basi wajue kwamba wakishachaguliwa kuwatumikia wananchi basi kuna baadhi ya vitu lazima waviache.

Nadhani wakitambua hilo basi watakuwa wanavitendea vyema vyeo na dhamana waliyonayo kwa taifa hili
Hivi vikuku vya miguuni kwakweli sijavipenda.
 
Wallah CCM wakinipa kumi kama hao nawapa kura hahahahahhaahhaahhahaaa, thubutuuuu kura yangu itoke hivi hivi tu? si heri niwachore
 
Hahaaa hii hatakama mi ningekuwa na uwezo ninge wapa hiyo nafasi, duuuh, kweli mwenye kisu kikali ndio anakula nyama hivyo.
 
Mazakanywa Fanta 'narudi' chichiem, nahisi kuna kitu nilisahau kule.....
Naona Wameamua kuongeza kitengo cha kastama kea..!
 
Back
Top Bottom