Picha: Yericko Nyerere na muonekano wa kutinga na pensi katika kipindi cha Star Tv

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,564
22,129
Habari;
Kada wa CHADEMA na mchambuzi Wa masuala ya kisiasa ndugu Yericko nyerere Leo katia fora baada ya kutinga katika kipindi cha tuongee asubuhi akiwa ndani ya pensi star tv, nini tafsiri yake?

Hivi hakuna limitation ya mavazi katika vipindi? Ikitokea Kwa Dada zetu watu hawachelewi kusema viti maalum vinataftwa, ila Kwa wanaume kuvaa hivo je ni ruksa?

Screenshot_2016-05-29-10-11-14.png

KIPENSI.jpg

View attachment 351802
 
Mkuu nilikuwa nashangaa kwa nini mpaka leo karne hii ya ishirini na moja unatumia TV kama hiyo sasa nimepata jibu. Badala ya kujishughulisha na mambo makubwa ya maana ambayo ni productive wewe uko bize kuangalia mambo madogo madogo kama vile nani kavaa nini! Kwa kweli personal development inakuhusu. You are too primitive...
 
Hahaha unadhani kuchanga buku 7 mpk anunue flat TV ni lini Mkuu, lazima aendelee kununua singsung TV Mkuu , hahah
 
Ndo shida ya wazungusha mikono, hawajui kujadili mada wanajua kumjadili mtu. kwa aina hii ya siasa Bongo kusonga mbele ni taabu,

Huyo dogo namuonaga juha tu, ila kwa hayo mavazi nimeona ujuha wake unaongezeka badala ya kupungua as ages go
 
Mkuu nilikuwa nashangaa kwa nini mpaka leo karne hii ya ishirini na moja unatumia TV kama hiyo sasa nimepata jibu. Badala ya kujishughulisha na mambo makubwa ya maana ambayo ni productive wewe uko bize kuangalia mambo madogo madogo kama vile nani kavaa nini! Kwa kweli personal development inakuhusu. You are too primitive...
Mkuu nilikuwa nashangaa kwa nini mpaka leo karne hii ya ishirini na moja unatumia TV kama hiyo sasa nimepata jibu. Badala ya kujishughulisha na mambo makubwa ya maana ambayo ni productive wewe uko bize kuangalia mambo madogo madogo kama vile nani kavaa nini! Kwa kweli personal development inakuhusu. You are too primitive...
Nakushauri peleka watalii wakashangae pale kariakoo Tv za chogo zipo nyingi sana, halafu watu wengine buana, hivi hujui kuwa kununua ni kuchagua? ndo maana wazungu wanatuona ni mazezeta kabisa waafrika kumiliki vitu vya bei kali halafu tunalia hatuna mtaji wa biashara. shame on you
 
Back
Top Bottom