Picha yenye matumaini.

Picha yenye matumaini.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Baada ya mapinduzi ya kifikra na upatikanaji wa demokrasia ya kweli nchini kwetu, naamini huyu mtoto akifika katika hali ya utu uzima; ata-flash back kwa kuangalia hii picha na kusema lolote.
Je unafikiri atasema nini?

MNYIKA%2BWA%2BBAADAYE%2BAKITEMBEA.JPG
 
Atasema peopleeeeeeeeeeeesssssss halafu atajibiwa poweeeeeeeeeeeeerrrrrr!!!!
 
Atasema daaad.... I wish I was you at that time to clean up the messy we are at right now....
 
Baada ya mapinduzi ya kifikra na upatikanaji wa demokrasia ya kweli nchini kwetu, naamini huyu mtoto akifika katika hali ya utu uzima; ata-flash back kwa kuangalia hii picha na kusema lolote.
Je unafikiri atasema nini?

MNYIKA%2BWA%2BBAADAYE%2BAKITEMBEA.JPG

NI kweli inaleta tumaini jipya kwa maisha ya watz ya miaka ijayo. Dogo akikua lazima naye ajivunie kuwa mwanamapinduzi tangu akiwa mtoto kwani bila shaka kipindi hicho tutakuwa tumeshawatoa hawa nyoka wenye magamba
 
Nilikuwa mpignaji wa kweli since i was young.
 
Back
Top Bottom