Picha yangu ya leo

Picha yangu ya leo

3.jpg

Huwa nakikubali sana hiki chuma,chapa kazi baba sisi kazi yetu ni kukuombea tu ili uishi miaka zaidi ya 10000000.(Yaani maneno mawili tu>>>KA.....TA).
U must be not only very stupid but a first class ignorant.
 
XX-603x381.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Sory mkuu hapo makonda ndo yupi
 
3.jpg

Huwa nakikubali sana hiki chuma,chapa kazi baba sisi kazi yetu ni kukuombea tu ili uishi miaka zaidi ya 10000000.(Yaani maneno mawili tu>>>KA.....TA).
usiyejulikana
 
Ndivyo mnavyompotosha ili mpate chochote kitu cha kuweka tumboni..nani aliwahi kuishi miaka hata 1000?
Nyie ni wanafiki sana. Jifunzeni kuwa wakweli kwanza, akikosea mwambieni na akifanya vizuri tumsifu.
 
XX-603x381.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Tuache utani jamaa wa anamzigo haswa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom