Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,077 Reaction score 34,847 May 24, 2014 #1 Hapa hata Mnyama wa Taifa anapatikana Mbuzi wa Kikatoliki safi sana........ Haleluya......
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 May 24, 2014 #2 Hayo matangazo yanavoonesha msisitizo hatar mkwe.......
Vicent daudi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2012 Posts 354 Reaction score 80 May 24, 2014 #4 Hapo pabaya sana
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 24, 2014 #5 Kazi kweli kweli hafu kwa juu wameandika ccm..
leonardo da vinc JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 1,108 Reaction score 735 May 24, 2014 #6 MziziMkavu said: Hapa hata Mnyama wa Taifa anapatikana Mbuzi wa Kikatoliki safi sana........ Haleluya...... Click to expand... Huu ni ubaguzi ambao haufai na ushabiki wa vitu ambavyo vinatugawa kama watanzania mtoa mada ulichukua hatua gani baada ya kuona hiyo butcher!
MziziMkavu said: Hapa hata Mnyama wa Taifa anapatikana Mbuzi wa Kikatoliki safi sana........ Haleluya...... Click to expand... Huu ni ubaguzi ambao haufai na ushabiki wa vitu ambavyo vinatugawa kama watanzania mtoa mada ulichukua hatua gani baada ya kuona hiyo butcher!
leonardo da vinc JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 1,108 Reaction score 735 May 24, 2014 #7 Suala la uchinjaji lishaanza kusahaulika ni vema kukemea kwa nguvu zote dhana hii ya kibaguzi inewahi kutughalimu na itaendelea kutughalimu tukiendelea kuikumbatia
Suala la uchinjaji lishaanza kusahaulika ni vema kukemea kwa nguvu zote dhana hii ya kibaguzi inewahi kutughalimu na itaendelea kutughalimu tukiendelea kuikumbatia
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,664 May 24, 2014 #8 Mimi ni mkristo ila sijapenda,mambo haya ni hatari kwa ustawi wa Taifa. Sidhan km nchi zilizoendelea zinabishana nani achinje
Mimi ni mkristo ila sijapenda,mambo haya ni hatari kwa ustawi wa Taifa. Sidhan km nchi zilizoendelea zinabishana nani achinje
mafinyofinyo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 4,404 Reaction score 3,277 May 24, 2014 #9 Safi sana. Tunachinja wenyewe tunakula nyama Wenyewe.
Pdraze JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 615 Reaction score 324 May 24, 2014 #10 Hii mbaya! Na daladala zikiwa za wakristo, migahawa ikawa ya wakristo n.k hatutafika
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,121 Reaction score 2,235 May 24, 2014 #11 bila shaka hii ni buseresere mkuu
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 587 May 24, 2014 #12 ngoja nisepe huku hutakiwi kucomment hii hatari kama ni Tanzania
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,249 May 24, 2014 #13 Naona kwa juu kuna neno CCM macho yangu tayari yamepata utege
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 May 24, 2014 #14 Pdraze said: Hii mbaya! Na daladala zikiwa za wakristo, migahawa ikawa ya wakristo n.k hatutafika Click to expand... Mkuu tembea uone. Mimi kwa masikio yangu kuna watu kadhaa huja kuniuliza ni wa hotel ya kiislam ilipo niende kula huko? Mimi huwa nawaelekeza tu kule ambako nadhani kweli ni waslam wanapika humo ndani. Maswali yananibaki kichwani. Kwanini wanaulizia dini? Kwa mantiki hio kusema hakuna vitu vyenye misingi ya kidini nakataa!
Pdraze said: Hii mbaya! Na daladala zikiwa za wakristo, migahawa ikawa ya wakristo n.k hatutafika Click to expand... Mkuu tembea uone. Mimi kwa masikio yangu kuna watu kadhaa huja kuniuliza ni wa hotel ya kiislam ilipo niende kula huko? Mimi huwa nawaelekeza tu kule ambako nadhani kweli ni waslam wanapika humo ndani. Maswali yananibaki kichwani. Kwanini wanaulizia dini? Kwa mantiki hio kusema hakuna vitu vyenye misingi ya kidini nakataa!