<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>Nimeipenda ya huyu aliyepaa Mungu akamrudisha duniani...vita anavyoianza ni kubwa na anapigana na adui asiyemjua! Hofu yangu ni nyasi kuumia so far seem ni fahali wawili wanatwangana!