Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

77001_310300762409978_1502112994_n.jpg
 
teja-mafuta-april22-2013.jpg

An unidentified man siphons fuel from a tanker as the driver waited for his turn to cross traffic lights in Dar es Salaam yesterday. The practice has been going on for many years in parts of the city, especially the often congested Mandela Highway. (Photo: Khalfan Said)

Mtu asiojulikana akinyonya mafuta kutoka kwenye Tanker ya gari la mafuta huku dereva akisubiri kwa upande wake kuvuka taa za barabarani jijini Dar es Salaam jana. Mazoezi haya ya kuiba mafuta yamekuwa yaki endelea kwa miaka mingi katika sehemu ya mji, hasa mara nyingi msongamano wa Magari ya barabara ya Mandela Highway.
 
LOWASSA%20TUZO%20APR%2022.jpg

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akipeana mkono na Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk. Boaz Sollo (kuhsoto), baada ya Askofu huyo kumkabidhi Lowassa tuzo. Lowassa alihudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa jana. Kulia ni Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom