Picha yangu ya leo hii

Picha yangu ya leo hii

kp05042013.jpg
 
mtuhumiwa%20wa%20mauaji%20ya%20padri%20mushi%20pg1.jpg

Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi (mwenye shati jekundu) Omar Mussa Makame akiwa chini ya ulinzi wa Polisi, mahakamani baada ya kusomewa mashataka ya kuhusika na mauaji ya kiongozi huyo wa kiroho huko Zanzibar
 
Mpinga-April9-2013.jpg


Traffic Police Commander Mohamed Mpinga leads Mbezi Beach Primary School pupils through zebra crossing on Afrikana Road in Dar es Salaam yesterday as part of FIA-UN Road Safety Week activities. Others (from-R)

are FIA Europe/Africa director general Jacob Bangsgaard, Automobile Association of Tanzania (AAT) vice president (Mobility) Henry Bantu and AAT chief executive Yusuf Ghor. (Photo: Guardian Correspondent)
 
Dr%20Mengi_03.jpg

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mgogoro wa kidini uliozuka nchini kuhusu ya hoja ya kuchinja wanyama ambapo kwa maoni yake alisema hakuna haja ya kuchochea suala hilo kwa kuwa ni miaka mingi tumeishi kwa amani na utulivu na kupendana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom