Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,073
- 34,844
- Thread starter
-
- #701
Na hii Je Picha inasemaje?
[/QUOTE
Muheshimiwa sana mzizi mkavu naomba kuuliza swali la nyongeza hivi pia huitwa picha?
ipe maelezo yake unaionanje?
Mkuu.@kitalol hiyo ni picha inaonyesha Viongozi wa nchi walivyo Mafisadi kwa kutorosha Mali ya nchi na kupeeleka nchi za jirani hiyo ni katuni lakini ni mfano wa picha mkuu.Unajua kwanini nilishangaa kuwa hii kama ni picha? ni kwavile watu tuna mtazamo tofauti kwenye kusoma na kuelewa haswa hizi katuni yaani pengine sijaweza kuisoma inavyotakiwa na nikajiuliza mpaka imekuwa stick. any way mkuu tuache hili nijibu pm ya kwa kitalolo@gmail.com
Mkuu.@kitalolo nimesha tuma email kwako hebu angalia basiUnajua kwanini nilishangaa kuwa hii kama ni picha? ni kwavile watu tuna mtazamo tofauti kwenye kusoma na kuelewa haswa hizi katuni yaani pengine sijaweza kuisoma inavyotakiwa na nikajiuliza mpaka imekuwa stick. any way mkuu tuache hili nijibu pm ya kwa kitalolo@gmail.com
Mkuu.@kitalol hiyo ni picha inaonyesha Viongozi wa nchi walivyo Mafisadi kwa kutorosha Mali ya nchi na kupeeleka nchi za jirani hiyo ni katuni lakini ni mfano wa picha mkuu.
ipe maelezo yake unaionanje?