Picha yangu ya leo hii


Gari la wagonjwa la Kampuni ya AAR lenye namba za usajili T151 AVD lililombeba Dk. Stephen Ulimboka likiingia katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, tayari kusafirishwa kwenda Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.
 

Activists who gathered at Julius Nyerere International airport to witness the leader of Tanzania Medical Association, Dr Stephen Ulimboka (INSET) being flown to Johannesburg, South Africa, for further treatment after his health deteriorated on Friday, stage a demonstration.(Photo: Omar Fungo)
 

Possible buyers look at hospital equipment and other items that were on sale during an auction in Dar es Salaam yesterday after the High Court ordered that Tanzania Heart Institute properties be sold to recover 6.9bn/- in rent owed to the National Social Security Fund. The event was supervised by Erick Auction Mart workers. (Photo: Tryphone Mweji)
 

Wafanyakazi wa Konoike wakimalizia daraja la Tegeta jijini Dar es Salaam kama walivyokutwa jana ikiwa ni sehemu ya upanuzi wa kipande cha Mwenge hadi Tegeta kwenye barabara ya Bagamoyo.
 

A bulldozer pulls down one of the houses said to stand ON a mangrove conservation area at Kunduchi on the outskirts of Dar es Salaam. Yesterday's demolition was supervised by the National Environment Management Council and the Ministry of Natural Resources and Tourism in collaboration with Kinondoni Municipality. (Photo: Tryphone Mweji)
 

Rais Jakaya Kikwete akiwasili Jijini London nchini Uingereza jana tayari kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa siku mbili juu ya Uzazi Salama.
 



A bulldozer pulls down one of the houses said to stand ON a mangrove conservation area at Kunduchi on the outskirts of Dar es Salaam. Yesterday's demolition was supervised by the National Environment Management Council and the Ministry of Natural Resources and Tourism in collaboration with Kinondoni Municipality. (Photo: Tryphone Mweji)
 

Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Strabag ya Ujerumani wakiwa katika kazi ya upanuzi wa barabara ya Morogoro eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam jana.
 

Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar, John Mnyika, akihutubia wakazi wa kijiji cha Ndago Jimbo la Iramba Magharibi mkoani Singida mwishoni mwa wiki ambapo katika mkutano huo, ziliibuka vurugu kubwa na kusababisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Yohana Mpinga (30), kuuawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…