Picha yangu ya leo hii

Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliokuwa wakiyatenda. Qur'an:6:108.
 

Watende Rashid, a Kinondoni Shamba resident, points to area where houses were flooded by recent downpour in Dar es Salaam that left a number of people homeless. (Photo: Selemani Mpochi)
 
hiyo ndo imani yetu kama imani yako inakukataza basi, acha tuabudu tunachoabudu na tunachoamini.
 

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi jana, unaozungumzia Mpango wa Ubia wa Uwazi Serikalini, unaofanyika nchini Brazil. (PICHA:IKULU)
 

A section of the Ferry International Fish Market kitchen in Dar es Salaam, which was devastated by fire in 2010, is yet to be rehabilitated by Ilala municipal authorities to date. The section used to accommodate 24 people, who now have to share space with their colleagues in the undamaged part of the kitchen.
 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto), akiwa na Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe, wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.(PICHA: TRYPHONE MWEJI)
 

A girl seeks alms, accompanied by a baby boy who is also learning the tricks of the trade, as captured by our roving photographer along Bibi Titi road in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Omar Fungo)
 

Mbunge wa Ludewa (CCM) Deo Filikunjombe (kushoto) akisaini kwenye orodha ya wabunge wanaotafuta idhini ya Bunge ya kusudio la kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Mbunge huyo alitia saini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana.Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini,(Chadema) Zitto Kabwe akishuhudia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…