Picha ya Zari Bosslady

Nipo ndugu yangu ndani ya jiji langu lililo barikiwa kwa baraka zote DAR ES SALAAM
hahaha
acha hizo Dar imebarikiwa wap bhana!? au imebarikiwa kuwa na Bashite.
ukiwepo uwe una nistua bas si unajua wewe ndio baraka yangu hapa jf bhana!
 
hahaha
acha hizo Dar imebarikiwa wap bhana!? au imebarikiwa kuwa na Bashite.
ukiwepo uwe una nistua bas si unajua wewe ndio baraka yangu hapa jf bhana!
AMUN RA!
Nitafanya hivyo!
Mimi huwa siendi against the current! Kama yuko bashite, nampa heshima yake, akija Ramadhani naye nampa heshima yake, huwa sipendi mastress kabisa, life is too beautiful and wonderful jamani! THERE IS NO TIME LIKE THE PRESENT!
 
ooh! God!
unanikoshaga sana.

kama Bashite anavo mkosha mkuu wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…