Picha ya Zari Bosslady

True
 
Mwanamke Ukiwa na pesa kwa vijana wa sasa wanavyo penda kulelewa!!!
Wanaweka kasoro zote pembeni ata kama ulikuwa unapondwa vip,
wanakausemi kao unapiga uku unavuta picha ya flani,chezea pesa wewe
Wachache. Tuseme diamond nae kwa boss lady nae kafata hela. Wakati anazo
 
Wewe sijui wa wapi. Ulisikia ng,ombe anazeeka maini nani.
ninyi wanawake kwasababu hamjijui maumbile yenu, huwa mnaamini ng'ombe hazeeki maini. kwasababu iyo kitu iko mbali na uso wenu, mkitumanulia sisi ambao ndio tunaiingia chumvini inakuwa karibu na uso, ndio huwa tunawafahamu vizuri. mikunjo kunjo yako wewe kule chini ukiwa mzee si sawa na hao 20s. sema tu kwasababu ya heshima tunawaheshimu mama zetu sitasema sana. ila ng'ombe huwa anazeeka maini. pia, uchi wa mwanamke ni kitu cha heshima sana, ndio maana mwanamke akikaa uchi akaonekana ni aibu kubwa kuliko mwanaume akiwa hivyo. kutoa uchi kwa mtu umri mdogo kwako inataka moyo, ni sawa na kumlaani,nyie ni mama zetu mjue huo uchi wenu huwa tunauheshimu mno na mnatakiwa kuutunza, uchi wa mwanamke unao uwezo kulaani kabisa wakati mwingine hasa kama mwanaume ni umri mdogo.
 
Bahati yako sijawahi kuuona wa mwanaume mzee [emoji23][emoji23]
 
Ha haaaaa huo uandunje inabidi tu uutibu kwa kuvaa high heels [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana hakuna namna nyingine
Opss. [emoji23][emoji23] nilijua inawezekana. Halafu ningeeda kuongeza na Chakula cha mtoto.
 
Mkuu wanao kula majimamawote wameshapata raana kwaiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…