Biblia inasemaje kuhusu wafu? Mhubiri 9:5-Kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote; wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mariamu mama yake Yesu alikufa akazikwa. Hakuna ushahidi wowote wa kiBiblia kwamba alikwenda mbinguni, kwani wafu hawaendi mbinguni.
Wakatoliki wameingiza theolojia ya uwongo, kwamba ukifa unaendelea kuwa hai...
Majini yanajitokeza katika sura ya "Bikira Maria" na wao wanadhani ndiye.
Wameanzisha kanisani utatu mtakatifu wa kipagani, Mungu Baba, Mungu Mama (Maria), na Mungu Mwana Yesu.
Dini zoote za kipagani zina mungu mke, Isis, Horus, Osiris kwa Wamisri.
Hakuna cha Maria, Hakuna cha Purgatoy. Uchawi mtupu.
Further details; google,-amaizingdiscoveries.org
Wakatoliki wameenda mbali kumfanya BM kwamba ndo anafanya kazi ya Yesu, eti Mediatrix. Na Majini yamekuwa yakiwatokea watu na kutoa maagizo. Nina quotes za wanazodai ni maono kutoka kwa BM, zinapingana na Bible. Huyo ni shetani kazini.
Ukitaka ushahidi zaidi tafuta web nlokupa, au youtube, strangefire.