Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,037
Huko Finland katika mji wa Hameenliina image hii inayofananishwa na Virgin Mary imetokea ukutani na jamaa mwenye nyumba alifanikiwa kupata picha mbili. Kabla ya picha hiyo kutokea kulikuwa na hali ya radi na msisimko na paka wa mwenye nyumba alitimua mbio na kujificha. Kwa habiri zaidi Neitsyt Maria ilmestyi ladon seinään Hämeenlinnassa - Katso kuva! | Kotimaan uutiset | Iltalehti.fi.