Picha ya ukutani inatoa "jasho"

Picha ya ukutani inatoa "jasho"

Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha a ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
Dah,
Nimeamini bongo joto sana aisee kipindi hiki. Yaan hadi picha inatoa jasho
 
Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
Sio mkono wa mtu mkuu. Hiyo ni picha ya mtu
 
Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
Unamaanisha picha ya magufuli iliyotoka Jana?
 
Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
mkuu lete picha kwanza ndo tutakuamini
 
Waafrika bhana! No wonder mnaua vikongwe, albino, wenye upaa. Nk.
 
í ½í¸í ½í¸‚í ½í¸†í ½í¸…
 
imelimishwa sana ucku hiyo mkuu!...ninauzoefu na hayo mambo toka kwa bibi!..wanga wanaifinya nyota yako..haraka sana nenda kafanye Chekap

Jigo
 
Back
Top Bottom