Picha ya ukutani inatoa "jasho"

zabron k

JF-Expert Member
Nov 11, 2015
923
1,058
Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
 
Waungwana
Miezi 4 iliyopita nilisafir kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerud nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
Njoja mshana jr aje akupe maelezo ya 'kisayansi'!
 
Nyumba hyo iko maeneo yenye joto sana......so km iko kwenye frame lzm hali hyo itokee..........hata zile picha zinazohifadhiwa kwenye album huwa zinapata unyevunyevu.......!!
 
Waungwana,

Miezi 4 iliyopita nilisafiri kikazi na kuacha picha ya ukutani ikiwa inapendeza na nzuri.

Sasa nimerudi nimekuta picha ina alama ya michirizi ya jasho kutoka kichwani kupitia mashavuni.

Utakuwa mkono wa mtu?
Hapana linaweza kuwa kalio la mtu au gegedo la mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom