Picha ya Ukumbusho

Picha ya Ukumbusho

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Huyu ni Mh John Alcohol Magufuli akionesha picha ya Barabara za juu Dar Es Salaam, Mh, ninahoFia tusije tukaishia kunawa..kwa hiyo jipatie nakala yako mapema


4-_Waziri_wa_UJenzi_John_Magufuli_akionyesha_michoro_ya_FLYING-_OVER_(barabra_za_juu).JPG
 
Jamaa ni kichwa na anapiga kazi si mchezo!Ila bado ana ka uoga flani hivi.
 
Mzee mijisifa akiwa kazini! Nadhani anawaambia waandishi wa habari kimoyomoyo kwamba 'mtaishia kunawa tu'.
 
Back
Top Bottom