Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,424
- 5,643
Ni yale ya Dhahabu yaliyo zuiliwa na Utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli pale Bandarini - Dar Es Salaam yakitoka kwenye Migodi ya Bulyanh'ulu na Buzwagi inayomilikiwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Barrick.
Yalikuwa njiani kusafirishwa kwenda Ng'ambo ili yakachenjuliwe tena, yapatikane Madini mbalimbali mengine.
Magazeti yaliandika sana na picha za Makontena hayo yakiwa Bandarini,zilitamalaki Mitandaoni.
Baadaye na mpaka leo hii,imekuwa ni kimya,Je ni kipi kinaendela/kiliendelea?
Barrick bado wanaendelea na Uchimbaji wa Dhahabu pale Bulyanh'ulu,Je, Wanaendelea kusafirisha nje Makinikia?