Picha ya tunda la Adam na Hawa

Hapa napenda tusahihishe kweli kadhaa kuhusu tunda linalodaiwa ni tendo la ndoa. Mungu tayari alishamuumba Adamu na Hawa na akamleta Hawa kwa Adamu akampa agizo "Zaeni mkaongezeke". Kabla ya hapo ni budi ujue jinsi Mungu alivyomleta Hawa duniani na kwa Adamu; soma Mwanzo 2:21 kuendelea

"Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.
"


Kama Adamu ameshaletwe mwanamke na kupewa maagizo ya kuzaa, itakuwaje kweli tutafsiri kuwa tunda walilokula Adamu na Hawa ni tendo la ndoa ambalo tayari walikuwa wamehalalishiwa? Nadhani kuna tatizo kwenye uelewa wetu wa mambo na tafsiri zake. Jamani tunda hilo ni literal tunda, na wala si tendo la ndoa kama ambavyo nimesikia wengi wakitafsiri

Ndio, hata mimi sijui kwanini wanadhani ni tendo la ndoa.
Na ndio maana nimesema huenda litakua ni tunda hili
This is a literal tunda na linaliwa (pun intended) Pastequizzi
 
This is kinda childish!
Mwali has bn doing this not once. Kunj kitu alipandisha hapa kuhusu Pope ambacho ni kejeli kwj imani za watu.

I dont see as to why mtu upandishe mtaFfeendaoni stuff ambayo unajua ni perpatration kwa wengine.

Hii leo Mbagala wanachoma makanisa jst coz ya kukosa uvumiliano wa dini... jst think of this.

Kurelate picha za mtandaoni na facts za Bible is unwise-fullstop.[/QUOTE]

Good point in Bold mkuu. Now that you have expressed your mind wacha na sisi tuseme. That is how tolerance goes.
 
Watu humu JF tuna analyse mambo ya ulimwengu wa roho kwa akili za kidunia.Hatuwezi kujua mambo ya roho bila kufunguliwa na roho mtakatifu. Tumtafute kwanza roho mtakatifu na yote haya yatakuwa bayana.
 
Swali dogo kwa.mwenye thread je tendo la ndoa hutufanya tujue mema na mabaya?
Tusipindishe ukweli. Eden ilikuwa duniani na walifukuzwa Eden wakabaki hapa duniani wakihangaika kama ilivyoandikwa Mwanaume utakula kwa jasho
 
This thread is an insult to any who believes.
Kwanini mnapenda kutafsiri kwa mizaha vitabu vya imani za wenzenu?
Mleta mada unachojaribu kupanda hakitaota.
Wakristo si wa hivyo, wala si wa hovyo.
Mimi umeniboa.
 
Mwali, you should leave out items which you cannot speak with much authority!
Btw, why is this being written?
 
Last edited by a moderator:
Definition /Allegory is a story that can interpreted to reveal a hidden meaning. Kwa lugha ya mtaani Adam amembanjua Eve kinoma.
Kama vitabu vinasema Eve alianza kula tunda kwanza. Kwa maana yako, nani alimbandua huyo Eve?
 
Dini mbali mbali zinasema kua Hawa alikula tunda,
na akamshawishi Adam kula tunda pia, Adam akala,
na baadae wakafukuzwa kotoka bustani la Eden
wakaja huku duniani.

Ilikua vigumu kwangu kuelewa kwanini "kula tunda"
kunaweza kusababisha watu kufukuzwa mbinguni
ili waje wateseke duniani.

Sasa picha ya tunda lenyewe imepatikana...
nimeelewa what a freak Eve must have been...
L & G, meet the PASTEQUIZZI from central america
hahahahaView attachment 67886
Hahahaha
 
IMG-20160903-WA0005.jpg
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom