Picha ya siku

Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani, mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati alipokuwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” aliyemuonesha tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014.​
 
englibertm;1149068raids ais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani said:
Embu wahusika mnunulieni rais viatu pls amwoni hiyo soli ilivyoisha
 
Mkuu subiri kwanza boss anaongea na sumu ya obama wa marikani sawa na vuta subira kidogo
 
Weweekamagetac we we sijasikiaa yaani hata mpigarangi nae asimamishwe kazi mpaka uchunguzi umalizike why kiatu ya boss iishevile
 
Dimondi umeipepea vyema bendera ya Tanzania, Bondeni hadi Uganda. Big up.
 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa simu nma msanii Idris Sultani, mshindi wa shindano la mwaka huu la Televisheni la Big Brother Africa wakati alipokuwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” aliyemuonesha tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014.​

Wazinzi wamekutana wanajadili uzinzi, Diamond anawekewa mipaka asije akaingilia makoloni ya mzee maana speed aliyokuwa nayo mpaka mzee ameshtuka.
 
Back
Top Bottom