Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,763
A Village Settlement in Denmark.
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]village za uko kila nyumba wana ndinga,,,njoo bongo sasa,A Village Settlement in Denmark.View attachment 1888106
Kuna kijiji cha ujamaa tuliwahi kukitembekea huko huko Denmark, ila chenyewe nyumba zake hazikuwa kwenye mapa ngilio huu. Watu wasio na ndoa walikuwa wanakaa kwenye nyumba moja kama Bweni na huwa wanafanya kazi kwa pamoja, very interesting! Tulikuta pia mifugo kama vile kondoo.A Village Settlement in Denmark.View attachment 1888106
Village ni uswahilini?usiniambie hapo ni uswahilini?