Picha ya Siku

kweli noma,mibaba mizima inafurahia rushwa! hii ni kama nchi ya kuchorwa vile.
 
akili ni nywele kwa kweli yaani hawa jamaa sijui wanajisikia vipi baada ya hapa,,mkumbo mkumbo utawafikisha watz pabaya ,,,,yaani mkumbo+ushabiki mambo yenye kuhitaji kufikiri kabla ya kutenda....
 
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=35920&amp;d=1314185267" border="0" alt="" /><br />
<br />
Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
<br />
<br />
Jairooo! Hahahahahahaha!
 
Hivi wake za hawa jamaa wanafikiriaje wanavyoona waume zao wanamsukuma mwanamume mwenzao!
 
kwa hiyo wanaume wanasuma wanawake waimba hii kali TZ ni zaidi ya ...........................ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…