Picha ya Siku

Picha ya Siku

Majina ya hawa jamaa hatuwezi kuyapata kwa ajili ya kumbu kumbu ha ha ha ha
<br />
<br />walioruhusiwa kugusa gari ni makamishna na wasaidizi wao tu.kwa hiyo hapo ni masters na barchelor tu zinasukuma gari
 
walioruhusiwa kugusa gari ni makamishna na wasaidizi wao tu.kwa hiyo hapo ni masters na barchelor tu zinasukuma gari

Mkuu tuwekee majina hapa, una maana Dk Peter Kafumu yuko hapo anasukuma?
 
hawa wanaume wase.nge kabisa. Wamewaaga wake zao kuja kumpapatikia huyu?
 
attachment.php


Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno


atakuwa ndiye aliyeleta ile barua
 
Kale kataa ka juu kwenye mlango wa nyuma kakiwaka si huwa gari imefunga brake au inafunga brake? Sasa hawa jamaa si wanaumia kusukuma gari inayosimama? Au ndio wameifikisha lakini wanaonekana bado kutafuna energy yao!!!!!!!!!
<br />
<br />
 
aisee, Mwanamayu, ww ni noma! Unajua kusoma picha na kuichambua vzr. Kweli ìyo taa inaashiria brake imekanyagwa! Maskini wanavuja jasho dreva anawachezea shere! Kazi wanayo!
 
attachment.php


Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno

Haya mababa mazima hata aibu hawakua nayo lakini nahisi kulikuwa na shinikizo usiposukuma gari imekula kwako.
 
Wanajikomba na wengine wameshinikizwa,boss karudi kila mtu anatetea ugali wake.Poor Tanzania.
 
hivi kweli nchi hii bado imejaa wapumbavu wanayimwa mkate wanashangilia ole wao
 
Nimeipenda sana hii!!!

i really like hii kitu kweli bado tumelala aisee ila ni vema tukijikumbusha hata misemo ya kwenye biblia;'' Kuna watu waliwahi kuulizwa NI NANI ALIYEWAROGA?'' Sasa na sisi kwanza tutafute mchawai alafu ndo tuongeee
 
attachment.php


Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno
Kila mtoto aangalie kama baba yake ni mmojawapo wa wanaosukuma hii gari then baba akirudi nyumbani amwulize kama kweli ndiye aliyethubutu kuidhalilisha familia mbele ya kadamnasi namna hii. Hii aibu ni kubwa kuliko kufumaniwa.
 
attachment.php


Kwangu mimi hii ndio picha ya wiki,ina maneno mengi ya kuiwekea hii picha.Mnamuona wa nne toka kushoto? ipeni maneno

Mungu wangu, hii picha imeniharibia siku kabisaa, nahisi hawa jamaa wote wanafikiri kwa kutumia "masaburi" yao yanayoonekana hapo, Sasa natamani angetokea baunsa kutoka Mombasa atokee kwa nyuma awape adhabu wote.
 
Yaani kweli JF imeshindwa kuwafahamu hawa ha ha ha ha
 
Akili za hawa wafanyakazi na machangundoa hapa chini zinashabihiana.

carpush.jpg


Hapa angalau gari lilikuwa limekwama kikweli kweli huku mwenye pochi akiwa ndani.

 
Kwa akili za watu kama hawa kwenye wizara nyeti kama hii, tusitegemee umeme kuwaka milele! Hadi hawa kenge wote watok/ pumbav zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom